moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Hivi wewe utaiweza hii kazi kweli maana nakuona unalalamika sana..pande hizi ni kuchukua order tu na kukaa kimya hakuna siasa huku ndugu yanguDah ndo bongo hii jaman tuwe na subira tu. Japo inaboa sana
HahahahhahaaEti kuna watu walinyea,hii kali kweri...
Hufai kuwa soldier,huna uvumilivu na hakika utakimbia mafunzo natena siku ya intro hutaimaliza,uliza 834kj na naomba wakupeleke huko.Dah ndo bongo hii jaman tuwe na subira tu. Japo inaboa sana