Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

Timu kubwa hazitumii nguvu kujieleza kuhusu ukubwa wake shoga yangu. Ukitaja tu Al Ahly mtu anaelewa umetaja dude kuuubwa. Ukisema tu Wudad watu wanatetemeka. Hawahitaji maelezo zaidi. Ukitamka neno Mamelodi mtu haulizi swali. Ukitoka huko na kusema Esperance inaeleweka ukubwa wake mara moja. Ukiona unahitaji kuandika paragraph kibao kujustify ukubwa basi tofauti yako na Geita Gold ni ndogo mno.
Kwanza kuwa na adabu mm sio shoga yako bali mm ni mmeo ambaye ninaweza kukutembezea miti ww na dada zako wote walioko kwenye ukoo wenu na nikawapa mimba so punguza dharau.

Turudi kwenye mada kwa hiyo Yanga ni timu ndogo?
 
Unataka Afrika Mashariki na Kati. Simba na Yanga zitakuwa kubwa. AFRIKA hell No! Huwezi kujiita timu kubwa kwa kuishia robo fainali wakati wakubwa wakiishia robo fainali kocha anakuwa hatarini kutimuliwa na wengi hutimuliwa. Wydad wangetolewa na Simba kocha saa hizi angekuwa jobless. Zitazame timu zilizo nusu fainali ya CAF CL. Ndio timu nne za mwisho kuwahi kutwaa taji la michuano hiyo. Ukipitia list ya mabingwa wa karibuni hutaona timu nyingine yoyote mpaka ukutane na kila moja kati ya hizo nne zilicho nusu fainali. Huo ndio ukubwa. Sio kufika robo fainali. Acha ujuha.
We Mama unampatia Makolokolo za uso hadi kavimba uso kwa manundu kama kang'atwa na nyigu
 
Vipi kuhusu PSG, Arsenal,Man city nazo ni timu ndogo kisa hazijawahi kuchukua ubingwa wa UEFA?
Hii battle ndio hua naipenda sa nikuulize Man City utamuweka meza moja na Man U au PSG utamuweka Level Moja na Chelsea kwenye level ya kimataifa?
Mkuu angalia Man City kacheza Fainal Juzijuzi tu ya UEFA the samw kwa PSG ila wote wali loose kombe hilo na Ndio maana mashabiki wa Man u ikitokea wanachekwa na Man City hua wanawauliza weken UEFA yenu mezani.
Na mashabiki wa Man City hutawasikia wanajisifia wamecheza fainal currently tuachen upopoma.
#CHIZI
 
Timu kubwa hazitumii nguvu kujieleza kuhusu ukubwa wake shoga yangu. Ukitaja tu Al Ahly mtu anaelewa umetaja dude kuuubwa. Ukisema tu Wudad watu wanatetemeka. Hawahitaji maelezo zaidi. Ukitamka neno Mamelodi mtu haulizi swali. Ukitoka huko na kusema Esperance inaeleweka ukubwa wake mara moja. Ukiona unahitaji kuandika paragraph kibao kujustify ukubwa basi tofauti yako na Geita Gold ni ndogo mno.
Hii umepiga ngumi kali mnoo
 
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂.

Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia ndani ya uwanja hadi kwa makocha.

Ila nani hajui Atletico pamoja na ugumu wake hua inakufa na kifo ni kilekile kama cha simba hua ni moja Bila au 2-1 lakini wanatoka.

Na ukienda ulaya ukasema Team kubwa ulaya Atletico huwez kuiweka meza moja na R.madrid, Barca, Chelsea, Liverpool, Inter milan, Ac Milan, Bayern na Man United.

Ila ukweli Atletico Madrid hua ni moja ya Team ngumu na kila team hua inaiogopa lakini hua inatolewa. So simba ni kama Atletico Madrid tu.

Sema tunaoisifia na kusema ni giant sijui tunaamaanisha nini niseme hatujui Mpira. Moja wao Genta nani yule ndio maana yupo busy na soka la Bongo.
Kama first born unaakilinza hivyo hivi..hao waliokufatia nawahurumia..Imesemwa klabu kubwa afrika wewe unaleta mifano ya ulaya.
 
Kama first born unaakilinza hivyo hivi..hao waliokufatia nawahurumia..Imesemwa klabu kubwa afrika wewe unaleta mifano ya ulaya.
Nahisi umesoma shule za tanzania na kwenye mitihani ulikua unafanya maswali ya Compare and Contrast sa hapo huelewi nini??
#CHIZI🦁
 
sidhani kama takwimu tukizifanya sawa simba itakua ya 10 sifikirii hilo na haliwez kua hivo.
Unafanya takwimu wewe na nani? Takwimu zinafanywa na taasisi za soka zilizopewa dhamana Africa sio wewe na wenzako.
 
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant.

Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia ndani ya uwanja hadi kwa makocha.

Ila nani hajui Atletico pamoja na ugumu wake hua inakufa na kifo ni kilekile kama cha simba hua ni moja Bila au 2-1 lakini wanatoka.

Na ukienda ulaya ukasema Team kubwa ulaya Atletico huwez kuiweka meza moja na R.madrid, Barca, Chelsea, Liverpool, Inter milan, Ac Milan, Bayern na Man United.

Ila ukweli Atletico Madrid hua ni moja ya Team ngumu na kila team hua inaiogopa lakini hua inatolewa. So simba ni kama Atletico Madrid tu.

Sema tunaoisifia na kusema ni giant sijui tunaamaanisha nini niseme hatujui Mpira. Moja wao Genta nani yule ndio maana yupo busy na soka la Bongo.
SIMBA NI TIMU KUBWA acha WIVU na CHUKI leo YANGA inahangaika kucheza NUSU FAINAL tena SHIRIKISHO wakati SIMBA ilishacheza FAINAL SIMBA hiyo hiyo Ilikwishacheza NUSU FAINAL Klabu BINGWA AFRIKAAcha kuifananisha SIMBA na Timu yoyote ya BONGO
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom