Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika.
Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka kutupotosha kwa sababu wanaelewa fika kwamba aliyeandaa na kulipa hao wakaguzi si Mhe.Samia suluhu Bali aliwalipa JPM akiwa madarakani.
Hasara ya 60 Bilioni si kitu chakushangaza kwa mwaka jana kwa sababu nusu ya mwaka 2019/2020 biashara ziligoma kutokana na kuibuka kwa corona, mashirika mengi yalisitisha safari.
Kuhusu bandari tayari Waziri mkuu alishaona tatizo na tatizo aliliona baada ya taarifa za ukaguzi alizopenyezewe kuonyesha pana tatizo. Kwa ujumla haya yote yametokana na kibali Cha Rais aliyepita hivyo tunaposema kaumbuka au legacy inapotea tunakosea si kwa kutokujua bali kwakujua.