USA , Qatar na HAMAS wanajadiliana kuhusu kuachiwa huru kwa mateka

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Mazungumzo yanaendelea vizuri sana,. Inasemekana HAMAS wamekubali kwa masharti kuwa Israel waache kushambulia Majengo na kuuaraia, pia misaada ya kibinaadamu iruhusiwe kuingia uwanja wa vita.

Mi nikajua Hamas wamesambaratika tayar, kumbe wako na mateka wao wamwtulia tuli.

Dah. Vita ni siri nyingi sana.

Pia USA ni kiboko kwenye Gameplays.

Pray for Ukraine.

Chanzo Financial Times:

Qatar and the US are working to finalize an agreement on the release of civilian hostages held by Hamas, a person briefed on the talks has told the Financial Times. “There were positive meetings yesterday [on Saturday] and Hamas seems willing to release the civilian hostages, but Hamas say they can’t do so while the bombing continues,” the source said. The deal would require Israel to halt its airstrikes on Gaza to allow Hamas to set the captives free and for humanitarian aid to be delivered safely to the Palestinian enclave, he added.
 
Kumbuka pia marekani husikiliza Israeli anataka nini kumbuka nguvu ya kitechnologia ya marekani inatoka wapi
Acha kuhadaa watu, yeye amlimdaye Israel ni yehova ambaye halali wala hasinzii yuko na Mungu wa kweli yeye aliyempa akili Daudi mwana wa yese kukata kichwa Goliath yule shujaa wenu kwa upanga wake mwenyewe. Hata pasipo USA israel anaweza kuibuka kidedea vile vile
 
Huo ni uongo technology ya marekani haitoki Israel na marekani hana mshirika wa karibu mashariki ya kati zaidi ya Israel kwahiyo hana choice.
 
HAKIKA. Bwana asipo ulinda mji... Huyo mwarabu mweusi anataka kupotosha.
 
Hapana maneno tu.

Israel anamsikiloza zaid USA.
Sababu US ndo mlinzi mkuu wa Israel
ni ujinga kuamin israel inaipa marekani technologies, Israel wale ni wazungu kutoka USA NA UK,
na Israel ni jimbo la marekani nje ya marekani

ndio maana bajeti na kauli zao huwa haina utofauti na Senate's wa USA provinces
 
Acha kuhadaa watu, yeye amlimdaye Israel ni yehova ambaye halali wala hasinzii yuko na Mungu wa kweli yeye aliyempa akili Daudi mwana wa yese kukata kichwa Goliath yule shujaa wenu kwa upanga wake mwenyewe. Hata pasipo USA israel anaweza kuibuka kidedea vile vile
We naye
 
Huo ni uongo technology ya marekani haitoki Israel na marekani hana mshirika wa karibu mashariki ya kati zaidi ya Israel kwahiyo hana choice.
Hizi story za waisrael kujaa na kuendesha Technology ya US sijui zimetokaga wapi. Kila mtu anasema wayahudi wana akili na teknolojia na wamejaa US na Ulaya.

Rubbish kabisa.

Bora hata wangesema wahindi
 
ni ujinga kuamin israel inaipa marekani technologies, Israel wale ni wazungu kutoka USA NA UK,
na Israel ni jimbo la marekani nje ya marekani

ndio maana bajeti na kauli zao huwa haina utofauti na Senate's wa USA provinces
Nachphisi mimi kyna mktaba wa siri kati ya US na Israel but sijy8 ni upi
 
Back
Top Bottom