Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
Last edited by a moderator:
Mpwangu masai dada ana jibu sahihi natumai
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
Leo nimeingia net, naomba uniruhusu nipite kimya kimya masai dada...
Mpwa swali moja muhimu lisilojibika ni kwanini ACT na so chama kingine chochote?
alafu wewe nina kadi yako
mpwa ulitaka abaki bila chama?
Mpwa katika maisha kuna vitu vya muhimu na vya lazima siasa sio muhimu na wala si lazima
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
mpwa wangu unataka zitto asifanye siasa za kumkomboa mwananchi
nani azifanye sasa? unataka CCM itawale milele???
Mpwa kuna maisha hata nje ya siasa na ukombozi huletwa kwa njia nyingi labda hii topic tukionana tutaijadili kwa undani zaidi
hahaha namba ngapi??? Nakucheki baadae... Leo lazima!!
mpwa wangu unataka zitto asifanye siasa za kumkomboa mwananchi
nani azifanye sasa? unataka CCM itawale milele???
Mpwangu masai dada na best wangu Shy land nina uzi kule usemao #MABADILIKO NI MCHAKATO SIO TUKIO jaribuni kupita kule mtapata majibu mengiKumbe wewe mwanamke una akili nyingi kiasi hiki!!!! leo ndio nimelijua tuko pamoja katika chama chetu.
mpwa njia pekee ya kumkomboa mwananchi ni kupitia viongozi wazalendo watakowatoa mafisadi papa CCM wanaotumia pesa za walala hoi kama njugu,wanaoshindwa kuwapa wazee above 65 hata kitu kimoja kati ya vikuu vitatu
madawa,chakula na mavazi.wakati huo huo wanatumia pesa zetu za kodi kujinifaisha wao na familia zao.
wanaoshindwa kutoa hekari kadhaa kwa ajili ya kutengengeneza wodi kubwa lakini wanagawa kama njugu mashamba kwa wawekezaji
la msingi chadema waelewe hatupambani nao tunapambana na CCM
wote tunajenga nyumba moja watoe siasa za chuki