Mnaosema zitto kajiunga zamani ACT

Mnaosema zitto kajiunga zamani ACT

Status
Not open for further replies.

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
 

Attachments

  • 1427404115749.jpg
    1427404115749.jpg
    87.3 KB · Views: 706
  • 1427404189723.jpg
    1427404189723.jpg
    3.6 KB · Views: 1,301
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI

Wewe ndio mwana wa upotofu huwezi kuwa baraka, masai dada tuheshimiane tafadhali, mke unaachwa leo kesho unatangaza ndoa, kama ulikuwa huchepuki nini maana yake.
 
Last edited by a moderator:
ACT ni wahuni..!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI

Mpwangu masai dada huku ngoja nipite kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio mwana wa upotofu huwezi kuwa baraka, masai dada tuheshimiane tafadhali, mke unaachwa leo kesho unatangaza ndoa, kama ulikuwa huchepuki nini maana yake.

Misukosuko ya Zitto na wachaga wa CHADEMA ilianza siku nyingi sana, dalili hizi zilimpa muda mrefu wa kujipanga, na kuchagua afanyeje baada ya CHADEMA kumtimua rasmi!
 
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
masai dada Hujui kabisa ulisemalo. Siku nyingine jifunze kutochokonoa mambo au sema machache, mengine bakiza.

11054447_930028897047915_5695083792478909182_o.jpg


Source: ACT Kigoma waahidi kumlinda Zitto Kabwe Tarehe ya Picha na Tukio: 20/08/2014! Mahali: Kigoma
 
Last edited by a moderator:
Mpwangu masai dada huku ngoja nipite kimyakimya

mpwa sioni kielelezo chochote kwamba zitto alijiunga ACT zamani
mi naona kwa sababu alikua ana mikakati na mitazamo ya kizalendo na demokrasia ya vitendo ndio maana walikua wanamuhusisha na chama cha kizalendo tangu awali lakini sijaona bandiko lolote lenye vielelzo kwamba alijiunga zamani ACT
kama kutenda mema unatabiria kuwa ni miongoni mwa kundi la watenda mema na baadae ukajiunga huko sioni tatizo
 
Last edited by a moderator:
masai dada Hujui kabisa ulisemalo. Siku nyingine jifunze kutochokonoa mambo au sema machache, mengine bakiza.

11054447_930028897047915_5695083792478909182_o.jpg


Source: ACT Kigoma waahidi kumlinda Zitto Kabwe Tarehe ya Picha na Tukio: 20/08/2014! Mahali: Kigoma

mkuu hiyo ni blog tu mtu kaamua kuandika
na hata kama walimshauri hivyo huo mwaka ina uhusiano gani na yeye kujiunga huo mwaka
mara ngapi vyama mbalimbali huwashauri vionhozi waamie kwenye vyama vyao baada ya kuona walipo sipo mlengo wao wa kisiasa wanachopigani kwa ajili ya wananchi sio malengo walionayo wenzake?
Okey tayari ameshajiunga mwaka huu kwa nini msimuache ajenge chama ??
kitu gani kinawafanya kutwa kujua chimbuko lake alipo na anafanya nini??
kama yote hayo unasumbuka nayo
karibu ACT UWEZE KUYAJUA KWA UKARIBU ZAIDI HUKO MBALI HUTAWEZA
 
Last edited by a moderator:
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
Masai dada umeukuja na hoja nyepesi sana. Sitti Abas mtemvu alikuwa na cheti cha kuzaliwa kikionesha amezaliwa mwaka 1996. Kilichotokea unajua. Think big mama yeyoo/ndito
 
mpwa sioni kielelezo chochote kwamba zitto alijiunga ACT zamani
mi naona kwa sababu alikua ana mikakati na mitazamo ya kizalendo na demokrasia ya vitendo ndio maana walikua wanamuhusisha na chama cha kizalendo tangu awali lakini sijaona bandiko lolote lenye vielelzo kwamba alijiunga zamani ACT
kama kutenda mema unatabiria kuwa ni miongoni mwa kundi la watenda mema na baadae ukajiunga huko sioni tatizo

Mpwa swali moja muhimu lisilojibika ni kwanini ACT na so chama kingine chochote?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom