mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,432
- 2,892
Sawa sawa mkuuAnza nae mazoea ya ajabu ajabu umemshika hapa umemtania ivi...
Hapa unampiga machine bila hata kutumia helaAnza nae mazoea ya ajabu ajabu umemshika hapa umemtania ivi...
Au sioTafuta ela nunua gar ndio utaelewa unachoambiwa
Saw mkuu..Ungejua zamani ilivyokuwa na sasa ilivyo wala usingeuliza hilo swali.
Siku hizi hakuna kutongoza mkuu wewe elewa hivyo tu,demu ukimchekea au ukimsalimia kwa bashasha tu unaenda kula mzigo wala hakuna kuleta longo longo nyingi.
πππππ
ukiuliza maana yake ni hujui na kutojua ni ujingakuuliza si Ujinga
Ngoja nikamjaribu yule bint pale jiraniKuna bodaboda alikuwa anasimulia kuwa huwa wanasema tu " uje geto kunisaidia kufua nguo" binti akienda kweli basii ndio imeisha hiyo na anasema huwa hawakatai
Au mwambie aje geto akusaidie kupikaKuna bodaboda alikuwa anasimulia kuwa huwa wanasema tu " uje geto kunisaidia kufua nguo" binti akienda kweli basii ndio imeisha hiyo na anasema huwa hawakatai
Kutongoza kumekuwa kwepesi tatizo mkono wa nyani nje njeUngejua zamani ilivyokuwa na sasa ilivyo wala usingeuliza hilo swali.
Siku hizi hakuna kutongoza mkuu wewe elewa hivyo tu,demu ukimchekea au ukimsalimia kwa bashasha tu unaenda kula mzigo wala hakuna kuleta longo longo nyingi.