Mnaonaje.........

Mnaonaje.........

Tuko busy!

Tunambembeleza MAX atoe password

Kwani huko kujiajiri ndo kukoje?

Ni lazima uwe unajua pushap?

Max ataachiliwa,mark my words,wanachofanya ni kutishia watu kuwa wanafata sheria ya mtandao,kuona mmoja kashakamatwa huko insta kutafanya wengine wasiandike upuuzi,trust me hakuna litakalotendeka,watamuachia Max huru.
 
Nusu ya vitu vinavyofundishwa mashuleni ni useless,
Aidha havina application au hakuna mazingira ya kuvi-apply.

Kwa nchi kama Tanzania ambapo kilimo ndo uti mgongo wa uchumi, Somo la Agriculture lingefundishwa walau hadi kidato cha sita kwa wanafunzi wote.
 
Hii ni nzuri mkuu,I hope wakubwa watafanyia kazi huu ushauri......
 
...Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize
Wako bize kuifunga JF hawatakusikia
Btw, wewe ndo yule mama mchaga mwenye mgahawa hapo stand, mimi ni mteja wako mzuri, ni bodaboda hapo.
 
Nusu ya vitu vinavyofundishwa mashuleni ni useless,
Aidha havina application au hakuna mazingira ya kuvi-apply.

Kwa nchi kama Tanzania ambapo kilimo ndo uti mgongo wa uchumi, Somo la Agriculture lingefundishwa walau hadi kidato cha sita kwa wanafunzi wote.

hivi watakubali kweli kujifunza kilimo?,lol the way Kilimo kinaachwa kuwa ni mambo ya kijijini,na sio watu wenye elimu,namaanisha kila mtu anasoma ili aje kupata blue collar job,nadhani kubadilisha mind set ni muhimu,ila in long run,tutafanikiwa tu.
 
Hujit
Mama Ndalichako kuna vitu vya kubadilisha...................

Elimu yetu,haitoi wahitimu ambao wako tayari kujiajiri.

Tanzania kujiajiri,means kuuza bidhaa Fulani.

Kama ni hivyo,Kwa nini usiweke syllabus inayo include business studies kwa vyuoni?

Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize business.

Mchango wenu wanaJamii
Hujitambui ndio maana unataka watoe critical thinking na General study,

Kwa akili yako unaona Tandahimba hawahitaji kuwa macritical thinkers, poleee ila weye zero brain
 
ungekua na akili usingenitusi,

Ungetuonyesha vipi umebenefit na hayo masomo ungekuwa umeleta hoja as a responsible person,sio vitusi vyako vya reja reja,

Na kama ulifundishwa kuwa the critical thinker,afu unajibu topic as a layman,then it was waste of time,you could as well stay at home and uza biscuits.!
 
Thanks , ila message sent, hivi ukitoa reasoning/argumentation unategemea nini?

Binafsi ningekuunga mkono kuwa masomo hayo yaongezwe kwenye syllubus kwa sababu mtu hawezi kuwa mjasiriamali bora bila kureason au bila kujua sera na taratibu za nchi.
 
Mnh.....una uhakika usingeenda chuo kusoma critical thinking,ungeshindwa kureason au kujua sera na taratibu za nchi???

Mnh specific,nimekuuliza hapo juu,umebenefit nini?kutoka kwenye hayo masomo???
 
Mama Ndalichako kuna vitu vya kubadilisha...................

Elimu yetu,haitoi wahitimu ambao wako tayari kujiajiri.

Tanzania kujiajiri,means kuuza bidhaa Fulani.

Kama ni hivyo,Kwa nini usiweke syllabus inayo include business studies kwa vyuoni?

Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize business.

Mchango wenu wanaJamii
M naona first year ya university waweke course ya ujasiriamali
 
Wazo lako ni zuri,kuongezea...

Ningependa elimu ya ujasiriamali ifundishwe kwa wingi,

Namaanisha mtu yeyote anaweza kujiunga,muda wowote, akiwa peke yake au kikundi kama vile vya saccos,masomo ya ujasiriamali yatolewe kwa affordable prices......

Huko kwenye vyuo wa combine degree yoyote na biashara mtu anasoma degree ya engineering na business, mtu ana major kimoja, ila anasoma na kingine, hii ina open more opportunities... And knowledge ..
 
Back
Top Bottom