Tuko busy!
Tunambembeleza MAX atoe password
Kwani huko kujiajiri ndo kukoje?
Ni lazima uwe unajua pushap?
Ajabu unategemea atatumia hekima, wakati hana(mnamwonea)Akubali tu siasa sio kutumia miguvu,hekima ndogo inahitajika...
Nusu ya vitu vinavyofundishwa mashuleni ni useless,
Aidha havina application au hakuna mazingira ya kuvi-apply.
Kwa nchi kama Tanzania ambapo kilimo ndo uti mgongo wa uchumi, Somo la Agriculture lingefundishwa walau hadi kidato cha sita kwa wanafunzi wote.
Wako bize kuifunga JF hawatakusikia...Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize
hihihiiih [HASHTAG]#freemaxencemello[/HASHTAG] #Tuko busy!
Tunambembeleza MAX atoe password
Kwani huko kujiajiri ndo kukoje?
Ni lazima uwe unajua push-up?
Nusu ya vitu vinavyofundishwa mashuleni ni useless,
Aidha havina application au hakuna mazingira ya kuvi-apply.
Kwa nchi kama Tanzania ambapo kilimo ndo uti mgongo wa uchumi, Somo la Agriculture lingefundishwa walau hadi kidato cha sita kwa wanafunzi wote.
Hujitambui ndio maana unataka watoe critical thinking na General study,Mama Ndalichako kuna vitu vya kubadilisha...................
Elimu yetu,haitoi wahitimu ambao wako tayari kujiajiri.
Tanzania kujiajiri,means kuuza bidhaa Fulani.
Kama ni hivyo,Kwa nini usiweke syllabus inayo include business studies kwa vyuoni?
Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize business.
Mchango wenu wanaJamii
Hujit
Hujitambui ndio maana unataka watoe critical thinking na General study,
Kwa akili yako unaona Tandahimba hawahitaji kuwa macritical thinkers, poleee ila weye zero brain
Thanks , ila message sent, hivi ukitoa reasoning/argumentation unategemea nini?
Binafsi ningekuunga mkono kuwa masomo hayo yaongezwe kwenye syllubus kwa sababu mtu hawezi kuwa mjasiriamali bora bila kureason au bila kujua sera na taratibu za nchi.
M naona first year ya university waweke course ya ujasiriamaliMama Ndalichako kuna vitu vya kubadilisha...................
Elimu yetu,haitoi wahitimu ambao wako tayari kujiajiri.
Tanzania kujiajiri,means kuuza bidhaa Fulani.
Kama ni hivyo,Kwa nini usiweke syllabus inayo include business studies kwa vyuoni?
Niko huku Tandahimba,sijui kama kuna masomo kama ya general studies ama critical thinking kwenye syllabus.....kama yapo yatoe,uingize business.
Mchango wenu wanaJamii
Wazo lako ni zuri,kuongezea...M naona first year ya university waweke course ya ujasiriamali