Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

Hii point yako hana nguvu..
Hayo magari ya ulaya mengi yakiwa used bei zake ni zile zile tu za wenzake wa categories zake ...
Changamoto huja kwenye spea na mafundi...

That's correct mkuu.

Pamoja na changamoto hiyo ya Uhaba wa mafundi na spea, still kuna watu wanahitaji gari za Ulaya na wanayanunua.

So Uzi huu ni eye opener... mmiliki wa gari la Ulaya, let say Volkswagen, anapataje spea hapa bongo? Na ni gereji zipi zinahudumia gari tajwa?

#Ukitaka nguvu, usalama, na comfortability, nenda kwa Mjerumani#
 
Kima wewe Vanguard ushaona ndio gari ya maana Toka lini mjapani akawa na gari ya maana nyie ndio hua mnaenda kwa madem/wanawake zenu unavimba na Subaru unajikuta nawe ni mtu kumbe huna lolote mafuta yenyewe unaweka ya elf 5 ukija kwangu nakufukuza.

Hahaha hauna ubavu huo, akishapaki Vanguard lake hapo uswahilini kwenu ulipopanga chumba kimoja utaanza 'kulowa' huko chini hata kabla hajakupa mtongozo.

jestikilla, huwa nakuona wa kiume hivi, the way you sound.
 
Utajijua mwenyewe niwe wa kiume wa kike au shoga sawa tu ila uje na Subaru IST passo unapigwa mtama na kukimbizwa nikiwa Tz natumia Volkswagen Toureg V6 na Mercedes Benz haya sema kingine....

Desiderative lady. 😂

Unamiliki na kutumia? Ama unatumia tu?

Ukute hapo ulipo hujuwi hata Passport inafananaje.
 
Nimejaribu kupitia coment zote lakini sioni gereji wala duka linalouzwa spare parts za magari tajwa na kibaya zaidi binafsi nikienda gereji zetu mtaani nazikuta VW Polo (Nazipenda sana) zikiwa zimepaki kwa kukosa vipuri mmojawapo ilikuwa imepasua sample tu?

anyway je hatuna agent wa magari hayo ya ulaya pamoja na kwamba wakiwepo wanakuwa na bei ghali sana kuliko maduka ya watu binafsi mfano pale Kariakoo Toyota wana duka lao na wanauza vitu Genuine tu na nikatafuta Genuine hiyo hiyo kwa part number hiyo hiyo Kisutu nilikuja kushangaa jamaa wa Kisutu alikuwa anauza bei ya chini kuliko agent alivyokuwa anauza
 
Nimejaribu kupitia coment zote lakini sioni gereji wala duka linalouzwa spare parts za magari tajwa na kibaya zaidi binafsi nikienda gereji zetu mtaani nazikuta VW Polo (Nazipenda sana) zikiwa zimepaki kwa kukosa vipuri mmojawapo ilikuwa imepasua sample tu? anyway je hatuna agent wa magari hayo ya ulaya pamoja na kwamba wakiwepo wanakuwa na bei ghali sana kuliko maduka ya watu binafsi mfano pale Kariakoo Toyota wana duka lao na wanauza vitu Genuine tu na nikatafuta Genuine hiyo hiyo kwa part number hiyo hiyo Kisutu nilikuja kushangaa jamaa wa Kisutu alikuwa anauza bei ya chini kuliko agent alivyokuwa anauza

Mkuu, mie mwenyewe hapa nataka kujilipua kwa VW Polo, ila nawaza mara mbili mbili.

Kuna wengine wanasema gari ndogo za mjerumani siyo pasua kichwa kiviiiile, spea zinapatikana na mafundi wapo japo ni wachache, kwamba tunatishana tu!
 
Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:..
Kama upo serious ni PM
 
Watu weshafunga ndoa na gari za Japan. Mjapan katushika kwakweli.

Afu ukitembelea nchi za jirani, gari za Ulaya ni nyingi sana mkuu. Nishawahi fika Lusaka Zambia, kule Toyota ni za kutafuta road. Nilikuwa naona brands za Ulaya tu BMW, Range, VW, kwa kiasi kikubwa.

Ila bongo, Toyota ni mafuriko road.

Huwa Ni makubaliano ya nchi kwa nchi kibiashara mkuu.
 
Zipo nyingi tu, mojawapo ni hizi hapaView attachment 1540056View attachment 1540057.

IMG-20200817-WA0012.jpg
IMG-20200817-WA0011.jpg
 
Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
Sema gari yangu ilienda kwenye mambo ya kampeni.

Ikarudi imeharibika vitu vingi sana hasa vya chini. Ilibidi nibadilishe vyote. Ila service za kawaida bei ni reasonable na spares bei ni kama mara 2 ya Toyota Used kwasababu hata bei ya genuine parts za Toyota zinashindana na hizo za Europe.

Pia yeye anadeal na gari almost zote za European. Ukitaka na spares anakuagizia yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom