Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,588
Tatizo sio pa kupata spare. Spare zipo ila bei zake zikoje? Hilo ndio la msingi na ndicho ambacho kimewakimbizia watu Nagoya na Yokohama 🤣🤣🤣Pasipo kuelezana wapi pa kupata spea na mafundi wazuri, hizi gari za mjerumani tutaendelea kuziogopa sana hapa bongo!