Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

kuna tofauti kati ya ubunifu na ulozi


wanawake wa kitanga wamejaa ubunifu
haswa kwenye sekta nzima ya mahaba na mapenzi

iko hivi mtanga anakuogesha,anakutawaza anakubeba mgongoni..full anakurembulia,,chumba full uturi na huko sita kwa sita hubaniwi..

hadi anakulisha.!

hapo kwa nini MTU asisahau huko kwao alipotoka.!
 
Ninayo yafahamu kuhusu wanawake wa Tanga
1.Mapenzi ni 100%.nilikuwa napiga show kwa uwezo wangu
2.Ujamaa na Umwinyi ni asili yao. ndugu wananafasi kubwa kwenye maisha kuliko kitu chochote.
3. limbwata na ushirikina sijawahi kushuhudia ila kama niliwekewa Sijui
 
Mambo ya uchawi hayategemeani na kabila, jinsia,wala sehemu anayotokea mtu. Mtu kama ni mshirika atabaki kuwa mshirikina siku zote hata kama akiwa mama mchungaji au mke wa ustaadhi.

Alafu mkuu sio wanawake wote wa Tanga wanapenda ushirikina wengine wako poa tu,ni kama wanyakiyusa sio wote ni wanene,au wasukuma sio wote ni washamba,hayo ni mawazo ya watu tu.
 
Utuache na Tanga yetu,umeandika uwongo.
Kawaida binadamu hawezi kujijua madhaifu yake hadi wapembeni amkonyeze. Kuna masuala hakugusia kama makelele, maugomvi ila mnapenda sana upande wenu na kuchukia wa mume. Kuhusu mapenzi hili lilibuniwa tu mbona hata wachagga wengine ni viboko 6x6 kuliko nyie. Jiwe liketupwa tunasubiri Shunie naye ajitetete
 
kuna tofauti kati ya UBUNIFU na ulozi


wanawake wa kitanga wamejaa ubunifu
haswa kwenye sekta nzima ya mahaba na mapenzi

iko hivi mtanga anakuogesha,anakutawaza anakubeba mgongoni..full anakurembulia,,chumba full uturi na huko sita kwa sita hubaniwi..

hadi anakulisha.!

hapo kwa nini MTU asisahau huko kwao alipotoka.!
Hizo story za vijiweni, ungejua ukorofi wao!
 
Ujumbe wangu huu hauwahusu wanaume wa Tanga wanaoa mabinti wa kitanga naamini wao wanaendana kitabia hivyo sio issue kubwa sana kuishi katika ndoa.
Tuje kwetu sisi ambao si wenyeji wa Tanga na tungependa kuolea huko, hapa nakushauri jifikirie kabla hujaamua. Jifikirie Mara mbili kwa sababu kuna vitu ambavyo wewe kama si mwenyeji vitakutesa sana na utajikuta upo kinyume na dhumuni lako.
Kwa kipindi ambacho nimeishi na kuona utamaduni wa watu wa Tanga nimegundua kwamba wanawake wa Tanga wanapenda sana ushirikina wa ndoa huu mnaoita limbwata. Amini usiamini ukioa Tanga mwanamke hata awe PhD bado anathamini waganga kuliko Mungu. Yaani usiombe uwe Tajiri kisha oa mwanamke wa Tanga utajuta. Achana na hii slogan mapenzi yameanzia Tanga hakuna lolote si Mzigua, si mdigo, si Msambaa wala msegeju hao wote ni wamoja. Najua kuna wengine mtabisha ila ubishi wawezekana kwa sababu si mzoefu. Uliza wagogo, wanyamwezi na waha waliokwenda kutafuta maisha kama wamewahi kukumbuka walipotoka.
Kingine ni kwamba jamii za watu wa Tanga wanapenda kuishi kijamaa kupitiliza. Wanapenda kila tukio hata kama ni dogo vipi bhas ukoo wote popote mlipo muje mshiriki asikose hata mmoja. Fikiria kuna kaharusi tu haka kakuweka ubani tu ndoa tayari bhasi hata ukiwa Kigoma wadigo watakuta uje Tanga kwenye hako kaharusi na usipokuja wamefura. Hebu fikiria maisha haya kila Siku uwe kiguu na barabara utaweza?
Katika ujamaa huohuo usishangae nyumbani kwako kukuta una watu hata kumi wamejaa kwako na hawana hata tarehe ya kutoka na wengine wanaweza hata kuoa wakataka na wake zao walete hapohapo kwako na wao hawaoni kama ni tatizo. Ushawahi kusikia msemo wa MDIGO MZIGO? Ukiona umeoa Tanga na nyumbani kwako hawaji kwa wingi ujue labda wamekudharau masikini au una roho ngumu zaidi ya Jiwe.
Hizi ni chache ila yakupasa utafakari sana unapofikiria kuoa binti wa Tanga asilia. Kama una roho mbaya usithubutu. Kama sio mtu wa kupenda masafari achaa kabisa, kama unaogopa ushirikina ndugu epuka mapema kifuatacho ndugu zako watakusikitikia tu na wasijue la kufanya.
Mkuu huu uzi umenistua kuna binti mmoja alikuwa anakaa na shangazi yake ni wa kabila la tanga yule binti alikuwa mtu wa dini sana nilimtongoza akanikubalia sikumwelewa yule binti mpaka leo
 
Hy mambo ya tribe cpend kbs maana kuna tabia ya mtu mmojammoja ombea upate mtu mwenye uwepo wa Mungu ndani yake nasi mambo ya utribe
 
Back
Top Bottom