Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

Kawaida binadamu hawezi kujijua madhaifu yake hadi wapembeni amkonyeze. Kuna masuala hakugusia kama makelele, maugomvi ila mnapenda sana upande wenu na kuchukia wa mume. Kuhusu mapenzi hili lilibuniwa tu mbona hata wachagga wengine ni viboko 6x6 kuliko nyie. Jiwe liketupwa tunasubiri Shunie naye ajitetete
Hapo ulipo andika wanawake wa kitanga tunapenda ugomvi na makelele si wote wako hivyo naamini Tanga ndio mkoa unao ongoza kuwa na utulivu katika mahusiano na Ndoa.
 
Du..stranger anaweka kengere juu ya sahani?? Mimi ningetoka bu-ndukiiii..naweza kuhisi anataka kunitoa sadaka au kuondokanazo
Mabinti wa huko ni kutumia ..ila tanga ya sahivi sio kama ya zamani nakumbuka unakuta binti anatoa mshumaa na kiplate kidogo unaanza kukandwa pu**** lazima useme yote yaliyojificha
 
Binafsi niko tofauti kidogo sipendi hayo maisha ya kudekezana na mwanamke,sijui sherehe au kupetiwa petiwa kukumbatiana kumbatiana etc hayo maisha yalinishinda kila jambo liwe kwa kiasi
Wewe mkenya haya mambo utayaweza vipi? Kwani mnaweza hata kuoa kabila tofauti?
 
Utafiti wako umehusisha sample size ya watanga wangapi mkuu au umeongea kimhemko?

Kwa nionavyo mimi hayo ni mambo yako ya kifamilia baina yako na mkeo umeamua kumwaga mboga leo na kumuanika hapa jukwaani

Pole mkuu!
 
Mnyaki nimeoa huko na sijarogwa bado kwa limbwata,wife sio mtu wa sherehe na nyumbani kwangu hakuna ndugu zake kabisa. Msambaa yule ni msafi,anajua kupika hatari, mpole,mcheshi na ameweza kunipenda katika hali zote za kiuchumi. Natumai wanawake wote wa Tanga wana sofa kama zake .
 
adolay, Hakuna kitu kama hicho, tumuombe tu Mungu atunusuru, Maandiko yanafafanua vizuri ni Mwanamke pekee ndiye aliyekuwa kiumbe wa kwanza kuongea na shetani.

Unajua aliongea nini na shetani?

Unatetea nini hapa ikiwa ni siri ya Mwanamke pekee na shetani?
 
Ahahahaa ๐Ÿ˜‚ kwani musoma siyo wagomvi?
ukitaka kuoa nenda musoma
Ila huyo jamaa mtoa mada ni muongo, kuna wenye ndoa na binti wa Tanga au mimi mwenyewe sijaona kitu kama hicho.

Nahisi kajisehemu au familia moja tu, iliyokuwa jirani na alipokuwa anaishi ndiyo imempa taswira isiyoshirikisha jamii kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom