Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,094
- 12,831
Mimi na nani, umewahi kuniona popote nikimlenga dada au mama yako? Tumewahi kukutana nikakuhubiria?Ulokole ni utapeli kama utapeli mwingine
Wakati huo unaouzungumzia walikuwepo matapeli wengi tu
Ni porojo na kuzinguana tu Ulokole ni wadhambi period!
Tusali sio kutudanganya na uponyaji sijui mafanikio sijui utapata mume
Swali langu mbona mnalenga wanawake tu?
Nendeni mkaponye mahospitalini maana wale ndio wanahitaji uponyaji...
Sihitaji mahubiri ya mlokole yeyoteMimi na nani, umewahi kuniona popote nikimlenga dada au mama yako? Tumewahi kukutana nikakuhubiria?
Hiyo chupa itazama tumboni. Kuwa makiniSihitaji mahubiri ya mlokole yeyote
Umejibu nami nimekujibu kulingana na maelezo yako
Sikujui wala sihitaji kukujua
Nimejibu kwa umoja wenu unahubiri huhubiri sio hoja
Next...
Huwa wanahubiri na kutoa shuhuda mkuu.Mashimo na majembe yake. Sijawahi kuwakuta wakihubiri. Sijui ndio uchelewaji wangu, huwa nakuta session ya sadaka.
Yale makelele yanazidi ya AZANA??Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama utaki kelele panda taxi
Nyani haoni kunduleYale makelele yanazidi ya AZANA??
Acha watu wahubiri injili.Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
pale stand anakaa hardly 10mns ila AZANA unapigiwa mara TANO kwa siku utake usitakeNyani haoni kundule
Na ni makelele hadi majumbani yaani.pale stand anakaa hardly 10mns ila AZANA unapigiwa mara TANO kwa siku utake usitake
Ukislimu unapewa hela.. hata mimi kuna kipindi nilifulia ikabidi nislimSijawahi kuona Waisilamu wanafanya hiki kitu,lakini kila siku makundi na makundi yanaslimu