Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Wadhambi wakubwa ni hawa wanajiita walokoleMnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Hata zama za Yesu kulikua na wagonjwa na hospitali zilikuwepo. Luka alikua daktari kitaaaluma lakini uliwahi kusikia popote kuwa wameenda hopitali kuombea wagonjwa? Unadhani kule Bethzatha kwenye birika kulikua na wagonjwa wangapi lakini aliponywa yule mwenye kupooza pekee? Kulikua na vipofu wengi sana lakini aliponywa Brthimayo. Walikuwepo wakinamama wengi lakini aliponywa yule aliyegusa vazi. Unadhani njaa iliwapiga makutano ile siku moja pekee?Wadhambi wakubwa ni hawa wanajiita walokole
Hakuna kitu inaitwa ulokole
Ulokole ni utapeli wa kidini
Walokole wengi ni wezi matapeli waongo wanafiki
Kama wanaponya Kwa nini hawaendi mahospitalini kutwa kwenye madhabahu barabarani nk
Serikali ilipashwa kuangalia hili swala la walokole kwa jicho la tatu
Wanawatesa sana wamama hasa wajane watafutao wenza ni utapeli tu
Nyie Matapeli tu. Pumbavu zenu, hivi sasa mmefikia mnaogesha visichana kwenye hayo majumba yenu ya kishetani mnayoita makanisa. Kuna waliokuja nyumbani kwangu kulazimisha kunihubiria, niliwafukuza kwa upole hawakunielewa, nikaenda bandani nikafungulia mbwa, kumamae zao walikimbia nusu ya kuvunja nyonga. Pamoja na kwamba mimi ni mkristo lakini siwapendi kabisa hawa wanaojiita walokole na wahubiri waoHata zama za Yesu kulikua na wagonjwa na hospitali zilikuwepo. Luka alikua daktari kitaaaluma lakini uliwahi kusikia popote kuwa wameenda hopitali kuombea wagonjwa? Unadhani kule Bethzatha kwenye birika kulikua na wagonjwa wangapi lakini aliponywa yule mwenye kupooza pekee? Kulikua na vipofu wengi sana lakini aliponywa Brthimayo. Walikuwepo wakinamama wengi lakini aliponywa yule aliyegusa vazi. Unadhani njaa iliwapiga makutano ile siku moja pekee?
Mbona kunitusi mkuu. Umewahi kunikuta nauza hata hayo unayoita maji ya upako? Sidhani kama umetumia busara kujaj nilichoandika.Nyie Matapeli tu. Pumbavu zenu, hivi sasa mmefikia mnaogesha visichana kwenye hayo majumba yenu ya kishetani mnayoita makanisa. Kuna waliokuja nyumbani kwangu kulazimisha kunihubiria, niliwafukuza kwa upole hawakunielewa, nikaenda bandani nikafungulia mbwa, kumamae zao walikimbia nusu ya kuvunja nyonga. Pamoja na kwamba mimi ni mkristo lakini siwapendi kabisa hawa wanaojiita walokole na wahubiri wao
Mkuu naunga mkono hoja abiria tunashindwa kusikia magari yanaelekea wapi ni keleleMnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Tupo wengi mkuu nadhani ni kazi fikilia hamsini na mia wanazo pewa pale😬😬Jamaa wanakera wale. Nilijua nakereka peke yangu.
Nikiwa pale mbezi huwa nawapiga hilo jicho.. hadi wakati wanaomba hela wananipita.. yaani mimi nahustle kusaka hela siku nzima kwa masimango wao wanachukua tu.Tupo wengi mkuu nadhani ni kazi fikilia hamsini na mia wanazo pewa pale😬😬
Wana boa yaani ukifika mbezi unawasikiliza wao utake usitakeNikiwa pale mbezi huwa nawapiga hilo jicho.. hadi wakati wanaomba hela wananipita.. yaani mimi nahustle kusaka hela siku nzima kwa masimango wao wanachukua tu.
Mnamuona huyu!ukiona wanakuboa ubiri wewe...kwanza kulazimishwi kuwasikiliza
Kama utaki kelele panda taxiMnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Teh teh teh aisee hata mimi sijawahi kukuta mahubiri. Ni mwendo wa kutishana tu madhara ya kutotoa sadakaMashimo na majembe yake. Sijawahi kuwakuta wakihubiri. Sijui ndio uchelewaji wangu, huwa nakuta session ya sadaka.
Ulokole ni utapeli kama utapeli mwingineHata zama za Yesu kulikua na wagonjwa na hospitali zilikuwepo. Luka alikua daktari kitaaaluma lakini uliwahi kusikia popote kuwa wameenda hopitali kuombea wagonjwa? Unadhani kule Bethzatha kwenye birika kulikua na wagonjwa wangapi lakini aliponywa yule mwenye kupooza pekee? Kulikua na vipofu wengi sana lakini aliponywa Brthimayo. Walikuwepo wakinamama wengi lakini aliponywa yule aliyegusa vazi. Unadhani njaa iliwapiga makutano ile siku moja pekee?