Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Umepanick Tate Mkuu futa hiyo comment ykoVipi, ungependa nikusindikizie na kale kakibwagizo kenu ka "Takbiiiiiir"
Binafsi na nyinyi huwa mnanikwaza sana na vile vipaza sauti vyenu. Yaani ni makelele tu usiku kucha. Mbaya zaidi hata mnacho kisema huwa sikielewi. Sijui huwa mnalala na kufanya kazi saa ngapi nyinyi viumbe.
Acha upumbavu wew hiyo habar njema unaka kufananisha na hizi takataka wanazopiga kelele hawa matapeli wakilokole mitaani?.Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
Na pia makundi kwa makundi yanaokoka huwa ata sielewi maana ya kuokokaSijawahi kuona Waisilamu wanafanya hiki kitu,lakini kila siku makundi na makundi yanaslimu
Vipi mtaani kwako madarasa yamekamilika?Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Vipi ww,utakua na udhuru?Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
Iyo injili unayosema kelele.. Siku yaja utaitafuta lakni hautaipata.
Imeandikwa..
Ulishaenda mbezi luis ukawaskia? Wanahubiri injili? Kama hujafika pale ulizaNa Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.