Mnaohonga sana, mnafanya maisha kuwa magumu

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
797
3,251
Adui wa mwanaume ni mwanaume mwenyewe...
Mtu huna uchungu na pesa zako unamwaga tuu kwa wadada kisa nyapu,

Ukifirisika uanze kusumbua watu, ukipata ukimwi je?

Watu wanajitahidi kuwa waaminifu lakini chombo yako inakuja kubebwa kama kifaranga kilichobebwa na mwewe.

Mwishowe unaamua kua player, kwa nini tusishindane kwenye factors nyingne za asili?

Hio ni dhambi kama dhami nyingne, kutumia pesa kuhadaa wanyonge na wasiojitambua.

Serikali iweke namna ya ku track hela za kuhongwa iki detect kwenye miamala inazichukua Ijengee madaraja.
Jitu linahonga nyumba, nakati kwao hana hata choo.

Anayehongwa hatosheki, usione wewe ndio mwenye pesa zaidi, na wewe ni maskini kwa mwingne, hivyo na yule wa juu akiamua hivyo anakupokonya, au ana cheat unabaki na mamivu ukikumbuka spending unapata kisukari na pressure.
Mwishowe mademu wote achukue Elon Musk.

Kila mtu atafute kwa jasho, hata uchumi ndio utakua, maana ufanyaji kazi utaongezekaa..

Hata siku moja siwezi mlaumu Mwanamke kwa Kupokea mana tunawaendekeza, Ila mwanaume mhongaji tena ukute pesa anaitafuta kwa njia isiyohalali inayoumiza mwanaume mwenzake.

Acha nature i select, kutumia pesa ni KUTOJIAMINI, na kupigwa tukio ni rahisi sana maana mtu hana upendo na wewe.

Ukitafta hela kwa jasho huwezi itumia kijinga kwa ajili ya nyapu, Mtu ambaye ameweza kutafta pesa kihalali tayari huyo ni smart kichwani hawezi fanya huo ujinga.

Kama anaoa ataoa ili ajenge familia afanye spending atakavyo na kukumbuka alikotoka.

Acheni ujinga, hamna adabu bana.
 
781c8839-2d36-4058-bb8b-e37fe1fea8b7.jpg
 
Ola hapo ulipo chukua ukipendacho dukani nakuja kulipia mkuu.

Tulikuwa tunampangaji mmoja kitaa anawatoto watatu wakike na mke anaenda kuhonga vigari na fedha huko njee kisa nyapu iliyojificha kwenye figure 8. Watoto wanashinda na njaa, wanakosa ada na malezi anakata week haonekani kwake bila huduma. Huu kama sio ufala nini nasemaje adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie vilevile. Mwisho lilimkuta la kumkuta
 
Kuna wanaume wamezaliwa na hulka ya kupenda sifa,
Demu analiwa kwa Elfu kumi atakuja yeye anamhonga laki
Msela anayemgonga kwa teni na yeye anamgonga kwa laki wote wanapata mbususu hiyohiyo!
Na karma ilivyo Basi, wahongaji wa level za juu ndio wanaopata ukimwi zaidi

Unahonga pesa nyingi unapata na ukimwi!

Waume sisi tuna uzwazwa Fulani,
Tungeamua wote tusihonge, tungekula mbususu tu Kama kawaida!
 
Back
Top Bottom