Mnaohonga sana, mnafanya maisha kuwa magumu

Japo sijasoma habari yako, ila naomba nikupe pole ndugu.

Unajua hela tunatafuta kwaajili ya hawa warembo wenye utelezi?

Zaburi 107 mstari wa 6 inasema.

Je, yamfaa nini mwanaume kuishi ingali hamna wanawake wazuri? Ni vyema ikiwa wanawake wataondolewa duniani na wanaume wote wajiue maana hakuna sababu ya kuishi kungali hakuna wanawake.

Kama hamna wanawake duniani basi hata sisi wanaume hatuna sababu ya kuishi... Ukibisha njoo tupigane

Kwani wapi nimesema kupigana?
🤣🤣🤣 duuu maneno yako ya mwisho kwenye hizi sentesi(quote) 2 yanamaanisha nini boss? hapa sasa namuelewa Pantomath
 
duuu maneno yako ya mwisho kwenye hizi sentesi(quote) 2 yanamaanisha nini boss? hapa sasa namuelewa Pantomath
Si nimekuambia huyu ni Mwezi mchanga,
Ulizani utani? Namfahamu vzr tuu, Mtu kashasahau alichoandika, usipoteze mda hapo, hapa mpaka itengemae ni September.
 
Moja ya sifa ya mwanume bora aweze kumtunza mwanamke wake. Huo ndio uanaume
Tafuteni pesa acheni kulalamika
Wanazidiwa akili na jogoo. Jogoo anajua umuhimu wa kuhonga kwaajili ya nyapu. Au Huwa hutafakari maisha ya viumbe vingine.? Wewe tafuta Hela tu ni sehemu ya matumizi.
 
Wanazidiwa akili na jogoo. Jogoo anajua umuhimu wa kuhonga kwaajili ya nyapu. Au Huwa hutafakari maisha ya viumbe vingine.? Wewe tafuta Hela tu ni sehemu ya matumizi.

😂😂😂tuwashauri wasubiri hadi wakue maana hawa bado hawajakua na akili za wanaume
 
Ola hapo ulipo chukua ukipendacho dukani nakuja kulipia mkuu.

Tulikuwa tunampangaji mmoja kitaa anawatoto watatu wakike na mke anaenda kuhonga vigari na fedha huko njee kisa nyapu iliyojificha kwenye figure 8. Watoto wanashinda na njaa, wanakosa ada na malezi anakata week haonekani kwake bila huduma. Huu kama sio ufala nini nasemaje adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie vilevile. Mwisho lilimkuta la kumkuta
Nini kilimkuta mkuu?
 
Adui wa mwanaume ni mwanaume mwenyewe...
Mtu huna uchungu na pesa zako unamwaga tuu kwa wadada kisa nyapu,

Ukifirisika uanze kusumbua watu, ukipata ukimwi je?

Watu wanajitahidi kuwa waaminifu lakini chombo yako inakuja kubebwa kama kifaranga kilichobebwa na mwewe.

Mwishowe unaamua kua player, kwa nini tusishindane kwenye factors nyingne za asili?

Hio ni dhambi kama dhami nyingne, kutumia pesa kuhadaa wanyonge na wasiojitambua.

Serikali iweke namna ya ku track hela za kuhongwa iki detect kwenye miamala inazichukua Ijengee madaraja.
Jitu linahonga nyumba, nakati kwao hana hata choo.

Anayehongwa hatosheki, usione wewe ndio mwenye pesa zaidi, na wewe ni maskini kwa mwingne, hivyo na yule wa juu akiamua hivyo anakupokonya, au ana cheat unabaki na mamivu ukikumbuka spending unapata kisukari na pressure.
Mwishowe mademu wote achukue Elon Musk.

Kila mtu atafute kwa jasho, hata uchumi ndio utakua, maana ufanyaji kazi utaongezekaa..

Hata siku moja siwezi mlaumu Mwanamke kwa Kupokea mana tunawaendekeza, Ila mwanaume mhongaji tena ukute pesa anaitafuta kwa njia isiyohalali inayoumiza mwanaume mwenzake.

Acha nature i select, kutumia pesa ni KUTOJIAMINI, na kupigwa tukio ni rahisi sana maana mtu hana upendo na wewe.

Ukitafta hela kwa jasho huwezi itumia kijinga kwa ajili ya nyapu, Mtu ambaye ameweza kutafta pesa kihalali tayari huyo ni smart kichwani hawezi fanya huo ujinga.

Kama anaoa ataoa ili ajenge familia afanye spending atakavyo na kukumbuka alikotoka.

Acheni ujinga, hamna adabu bana.
Hii ni ya ngono, vipi ya huduma muhimu za kila siku, haifanyi maisha magumu? WaTz kazi tunayo kwa mtazamo huu.
 
Back
Top Bottom