Sawa kabisa, naunga mkono hoja!Nashauri Lema amfungulie kesi udhalllishaji atiwe adabu
Sawa kabisa, naunga mkono hoja!
Nashauri Lema amfungulie kesi udhalllishaji atiwe adabu
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu kijicho nk.
Kauli kama ya huyu aliyekuwa diwani wa viti maalum cdm. Arusha Rehema kwa kauli yake kuwa kamanda Lema alikuwa akimtaka kimapenzi! huyu dada amenishangaza sana maana ninamfahamu na tabia zake na sehemu mbalimbali alizokuwa akifanya kazi na jinsi kila siku alivyokuwa anafukuzwa kazi kwa tabia zake za majungu, umbea na hata ushirikina wa wazi wazi na yeye hilo analijua vizuri sana ila siku zote ukimuuliza tatizo ni nini anasemaga kuwa anaonewa wivu nk. wakati pia anajulikana kwa tabia ya mdomo mchafu na tabia ya kupiga mizinga kwa kila mtu unayemfahamu mjini tena pamoja na tabia ambayo inamfanya mume wako mara zote akufuatilie kila mahali unaijua ila tuachie hapo na turudi kwa tukio la wewe kutakwa na kamanda Lema.
Kama Ma GT. hebu tuchambue kidogo maswali kadhaa kwanza kabla hatujaenda mbali
Kama Lema alikutaka kimapenzi ulishindwa nini kuwaambia umma wakati huo mpaka ufukuzwe uanachama ndipo uje na ngojera hii ya kuwashangaza ma GT?
Kati ya chadema na ccm ni chama kipi kinachoongoza kwa kutoa rushwa ya madaraka kwa njia ya chupi au fedha?
Hivi leo Kamanda lema akikushitaki kwa kumchafulia jina unaweza kuithibitishia mahakama kwamba kitu cha namna hiyo?
Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale kwamba wewe hauna thamani siyo kazini kwako, kwenye jamii, kwenye vyama vya siasa nk. hivyo nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.
Kwani sasa lema kumtaka na kumuomba soda ya kopo kuna ubaya??
Na usikute kumpa alishampa,kwa maana ya kwamba kama angekua hajampa asingetokea hapa hadharani kuyaongea hayo anayoyaonge,kumpa alishampa tena kiroho safi tuh
sema sasa yeye kaamua kuufanya huo kwake kuwa ni mtaji wa kisiasa
kwani alitimuliwa cdm kwa kutakwa au kuvunja katiba ya cdm?
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu kijicho nk.
Kauli kama ya huyu aliyekuwa diwani wa viti maalum cdm. Arusha Rehema kwa kauli yake kuwa kamanda Lema alikuwa akimtaka kimapenzi! huyu dada amenishangaza sana maana ninamfahamu na tabia zake na sehemu mbalimbali alizokuwa akifanya kazi na jinsi kila siku alivyokuwa anafukuzwa kazi kwa tabia zake za majungu, umbea na hata ushirikina wa wazi wazi na yeye hilo analijua vizuri sana ila siku zote ukimuuliza tatizo ni nini anasemaga kuwa anaonewa wivu nk. wakati pia anajulikana kwa tabia ya mdomo mchafu na tabia ya kupiga mizinga kwa kila mtu unayemfahamu mjini tena pamoja na tabia ambayo inamfanya mume wako mara zote akufuatilie kila mahali unaijua ila tuachie hapo na turudi kwa tukio la wewe kutakwa na kamanda Lema.
Kama Ma GT. hebu tuchambue kidogo maswali kadhaa kwanza kabla hatujaenda mbali
Kama Lema alikutaka kimapenzi ulishindwa nini kuwaambia umma wakati huo mpaka ufukuzwe uanachama ndipo uje na ngojera hii ya kuwashangaza ma GT?
Kati ya chadema na ccm ni chama kipi kinachoongoza kwa kutoa rushwa ya madaraka kwa njia ya chupi au fedha?
Hivi leo Kamanda lema akikushitaki kwa kumchafulia jina unaweza kuithibitishia mahakama kwamba kitu cha namna hiyo?
Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale kwamba wewe hauna thamani siyo kazini kwako, kwenye jamii, kwenye vyama vya siasa nk. hivyo nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.
Watanzania walisha tahadharishwa kuwa viongozi wa CDM ni wazinzi lakini hawakusikia sasa ndio wanaona matokeo,huyu dada angetoa mambo basi huko mbeleni ubunge ulikua wazi kabisa.