Mnaohama CHADEMA kwenda CCM, jiulizeni haya kabla ya kuropoka kwenye vyombo vya habari!

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu.

Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.
 
...wapi ant poachers,kamata hiyo mutu mara moja itusaidie upelelezi bilashaka inahusika na maiti za Ndovu wetu...
 
Kwani sasa lema kumtaka na kumuomba soda ya kopo kuna ubaya??

Na usikute kumpa alishampa,kwa maana ya kwamba kama angekua hajampa asingetokea hapa hadharani kuyaongea hayo anayoyaonge,kumpa alishampa tena kiroho safi tuh

sema sasa yeye kaamua kuufanya huo kwake kuwa ni mtaji wa kisiasa
 
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu kijicho nk.

Kauli kama ya huyu aliyekuwa diwani wa viti maalum cdm. Arusha Rehema kwa kauli yake kuwa kamanda Lema alikuwa akimtaka kimapenzi! huyu dada amenishangaza sana maana ninamfahamu na tabia zake na sehemu mbalimbali alizokuwa akifanya kazi na jinsi kila siku alivyokuwa anafukuzwa kazi kwa tabia zake za majungu, umbea na hata ushirikina wa wazi wazi na yeye hilo analijua vizuri sana ila siku zote ukimuuliza tatizo ni nini anasemaga kuwa anaonewa wivu nk. wakati pia anajulikana kwa tabia ya mdomo mchafu na tabia ya kupiga mizinga kwa kila mtu unayemfahamu mjini tena pamoja na tabia ambayo inamfanya mume wako mara zote akufuatilie kila mahali unaijua ila tuachie hapo na turudi kwa tukio la wewe kutakwa na kamanda Lema.

Kama Ma GT. hebu tuchambue kidogo maswali kadhaa kwanza kabla hatujaenda mbali

Kama Lema alikutaka kimapenzi ulishindwa nini kuwaambia umma wakati huo mpaka ufukuzwe uanachama ndipo uje na ngojera hii ya kuwashangaza ma GT?

Kati ya chadema na ccm ni chama kipi kinachoongoza kwa kutoa rushwa ya madaraka kwa njia ya chupi au fedha?

Hivi leo Kamanda lema akikushitaki kwa kumchafulia jina unaweza kuithibitishia mahakama kwamba kitu cha namna hiyo?

Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale kwamba wewe hauna thamani siyo kazini kwako, kwenye jamii, kwenye vyama vya siasa nk. hivyo nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.

Kamanda Lema mshitaki huyu mama kwa kukuvunjia heshima, mbona huyu huna kazi naye ameema hadharani unamkomesha leo hii hii!
 
Ili iwe funzo kwa wengine,ndugu Lema nenda mahakamani kudai fidia ya kudhalilishwa na kukuondolea utulivu wa fikra.
 
Kwani sasa lema kumtaka na kumuomba soda ya kopo kuna ubaya??

Na usikute kumpa alishampa,kwa maana ya kwamba kama angekua hajampa asingetokea hapa hadharani kuyaongea hayo anayoyaonge,kumpa alishampa tena kiroho safi tuh

sema sasa yeye kaamua kuufanya huo kwake kuwa ni mtaji wa kisiasa

Huyu dada ni vuvuzela linalotafuta pa kutokea. Alidhani kwa kuwa yeye ni mwanamke ndio ataonewa huruma kwa tabia zake za kindumilakuwili? Amedanganywa na magamba naye yeye sasa kawa gamba ila pa kufichia aibu yake anaona labda kuwachafua viongozi na wanachama wengine wa CHADEMA. Unapopewa dhamana ya uongozi unapaswa kufuata maadili na misingi ya uongozi ya chama kilichokupa dhamana hiyo. Unaongeza aibu kwa kwenda kujivua nguo hadharani kwa kutaka sifa.
 
Wakuu!

Hii sio issue jamani! Mbona ni kitu cha kawaida mwanamke kuombwa unyumba jamani? Ingekuwa alitakwa kubakwa hapo tungejadili kivingine. Kwa mwanamke kuombwa unyumba ni sifa kubwa sana. Huyo anataka kujipandisha chati ili kujijengea wigo mpana wa kuombwa huko aliko kimbilia. Na kwa hakika kwa MAGAMBANI atakuwa ameingia kwenye uwanja rasmi. Si mliona Dodoma madada powa walivyokuwa kibao, eti?
 
Huyo dada hamkuona ubovu wake wakati yuko kwenye chama? Sasa ndio mnaongelea madudu yake. Halafu Lema amekua malaika? Muanzisha mada kabda hujalaumu wenzako wewe mwenyewe acha unafiki.
 
Wafanyakazi wa kike huwa tunawatahadharisha wanapoajiliwa kumripoti mara moja kwenye uongozi wa juu kiongozi yeyote mwenye kumletea ufska kazini ili tuwe na kumbukumbu kabla hatujachukua hatua za kinidhamu sitahiki.
Uzoefu umeonyesha wanawake walio wengi wanapoboronga kazini wakiadhibiwa huwa wanalia kuwa wanatendewa hivyo kwa sababu ya kuwanyima uroda mabosi wao,ukiangalia kosa lake linakuwa halihusiani kabisa na ukware wa bosi wake mathalani mtu anatega kuja kazini bila kutoa maelezo au kapigana kazini.
Ushauri wa bure kwa Rehema na wenzake kilio chao kikitolewa kabla ya kufikwa na dhahama kitaeleka na kuaminiwa na umma badala ya kuonekana kama kujitafutia umaarufu wa kisiasa kwa kutumia majina ya watu maarufu.
 
Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu kijicho nk.

Kauli kama ya huyu aliyekuwa diwani wa viti maalum cdm. Arusha Rehema kwa kauli yake kuwa kamanda Lema alikuwa akimtaka kimapenzi! huyu dada amenishangaza sana maana ninamfahamu na tabia zake na sehemu mbalimbali alizokuwa akifanya kazi na jinsi kila siku alivyokuwa anafukuzwa kazi kwa tabia zake za majungu, umbea na hata ushirikina wa wazi wazi na yeye hilo analijua vizuri sana ila siku zote ukimuuliza tatizo ni nini anasemaga kuwa anaonewa wivu nk. wakati pia anajulikana kwa tabia ya mdomo mchafu na tabia ya kupiga mizinga kwa kila mtu unayemfahamu mjini tena pamoja na tabia ambayo inamfanya mume wako mara zote akufuatilie kila mahali unaijua ila tuachie hapo na turudi kwa tukio la wewe kutakwa na kamanda Lema.

Kama Ma GT. hebu tuchambue kidogo maswali kadhaa kwanza kabla hatujaenda mbali

Kama Lema alikutaka kimapenzi ulishindwa nini kuwaambia umma wakati huo mpaka ufukuzwe uanachama ndipo uje na ngojera hii ya kuwashangaza ma GT?

Kati ya chadema na ccm ni chama kipi kinachoongoza kwa kutoa rushwa ya madaraka kwa njia ya chupi au fedha?

Hivi leo Kamanda lema akikushitaki kwa kumchafulia jina unaweza kuithibitishia mahakama kwamba kitu cha namna hiyo?

Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale kwamba wewe hauna thamani siyo kazini kwako, kwenye jamii, kwenye vyama vya siasa nk. hivyo nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.

Pole sana kijana! your points are not really convincing.Andika hoja yako kama ulivyoandika topic, maana haviendani kabisa.It looks that your topic based on subjectives other than Objectives.Unaongea kama umejeruhiwa,kama ulimfahamu diwani wako kwanini mlimpokea CDM.Pengine anaweza akawa clever than you.Pole sana kijana,Fikiria utaifa kwanza na sio uchama au watu binafsi.
 
Watanzania walisha tahadharishwa kuwa viongozi wa CDM ni wazinzi lakini hawakusikia sasa ndio wanaona matokeo,huyu dada angetoa mambo basi huko mbeleni ubunge ulikua wazi kabisa.
 
Watanzania walisha tahadharishwa kuwa viongozi wa CDM ni wazinzi lakini hawakusikia sasa ndio wanaona matokeo,huyu dada angetoa mambo basi huko mbeleni ubunge ulikua wazi kabisa.

hahaha subiri nawewe wakurudi, si unavyo vyombo, heri uzinzi kuliko udhaifu na ufisadi,
 
mbona kwanza hata kiumri ni mkubwa na uso umesinyaa sana sasa kama lema alimtaka kimapenzi badae alimwambia aende kwenye mkutano wa cancel uliokataliwa na chama chake?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom