Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo atajificha na maddhaifu yake huku akiwatupia lawama wanaomzunguka kwa madai kuwa wanamwonea wivu.
Kuna mambo mengi sana ambayo watu wanaropoka bila kuangalia midomo yao lakini itawapeleka wapi lakini ukweli utabaki pale pale nendeni popote ila hata huko mwendako hamtakaa kwa maana hakuna chama kinachotaka watu wasio na nidhamu.