ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Ila tunaruhusiwa kusema kwa mdomo tu.Ili iweje, kwenye Uislamu tunakatanzwa kutoa kwa mkono wa kulia kisha mkono wa kushoto ukafahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tunaruhusiwa kusema kwa mdomo tu.Ili iweje, kwenye Uislamu tunakatanzwa kutoa kwa mkono wa kulia kisha mkono wa kushoto ukafahamu.
Mkuu wew bora nikupoteze Usinichoshe.
Shida hapo ni ile roho yetu: ROHO YA KOROSHO!Hapo shida nini mkuu ni hizo sahani, grass au chakula.
Mkuu nimeamini why Nuhu aliamua kuchukua wanyama kwenye Safina akaacha binadamu.Shida hapo ni ile roho yetu: ROHO YA KOROSHO!
Kwa hiyo unanipangia matumizi? Kama huna hela hiyo ni ww... wako wanaojiweza wenye pesa zao.Unamchangia Lissu ili iweje, huo ni uzwazwa.....arudi home tu mana hana impact yyte kule aliko..acha atumbue hela za malofa
Ujinga huo me siphanyi haiwezikani unajibana na hali hii ya magu harafu wamtumia rissu pesa kisa siasa [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]