Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Me nmeuza ka ist kangu nimlipie bibie ada. Nampenda kama atachange basi nmetoa kwa moyo wangu
Ni PM namba yake ili nikuonyeshe huwa inakuwajeMe nmeuza ka ist kangu nimlipie bibie ada. Nampenda kama atachange basi nmetoa kwa moyo wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umejilipua
Ni PM namba yake ili nikuonyeshe huwa inakuwaje
Dem mzee wake kagoma msomesha kisa me, dem bado hatak kuniacha nkamwonea huruma ikabd nifanye hvo
Naomba nitangulize pole za mapema .Me nmeuza ka ist kangu nimlipie bibie ada. Nampenda kama atachange basi nmetoa kwa moyo wangu
Mpeleke stage fulani hivi ili kuweka bondi ya nguvu, labda mtolee mpaka mahari na uchumba pia ili kwao iwe unajulikana officially!
Haisaidii sana ila anaweza kuwa na woga kukuendea kinyume sababu ya familia na ndugu zake wanakujua japo hiyo pia siyo guarantee lakini inasaidia kidogo!!
Naomba nitangulize pole za mapema .
Unapga hatua 1 mbele unarudi hatua 10 nyuma, omba sana mkeka usichanikeMe nmeuza ka ist kangu nimlipie bibie ada. Nampenda kama atachange basi nmetoa kwa moyo wangu
Umesahauje na ist haunaThanks kwa ushaur mkuu ila me I don't care, nmeshasahau kama nmelipa ada
Umesahauje na ist hauna
Sawa mkuu hongera kwa kusomesha mchumbaPesa ya ada nlompa ni 900k tu ilobak nafanyia busn zangu coz nilikurupuka kununua ist wkt sijaweka mambo sawa ulimbukeni tu. Busn ikienda sawa gar ntanunua soon
Iiiii yani unajiongezea na hasara nyingine zisizo za lazima hahaa huipend hela yako,we fanya muoe au mpe mimba akizaa ndio msomeshe,Mpeleke stage fulani hivi ili kuweka bondi ya nguvu, labda mtolee mpaka mahari na uchumba pia ili kwao iwe unajulikana officially!
Haisaidii sana ila anaweza kuwa na woga kukuendea kinyume sababu ya familia na ndugu zake wanakujua japo hiyo pia siyo guarantee lakini inasaidia kidogo!!
Sawa mkuu hongera kwa kusomesha mchumba
Kabisa kabisaMe nmeuza ka ist kangu nimlipie bibie ada. Nampenda kama atachange basi nmetoa kwa moyo wangu