AeeimenKusomesha mtu ni Baraka pia M/Mungu atakulipa
Iiiii yani unajiongezea na hasara nyingine zisizo za lazima hahaa huipend hela yako,we fanya muoe au mpe mimba akizaa ndio msomeshe,
Sikufichi nilikua nasoma chuo tulikua tunawala wake za watu wanaosomeshwa vibay mnoo
Hizi nyuzi zenu mtafanya bebe wangu akipita hapa aghairi kulipa ada..... Watu hamuishi kulalamika cheiii..... Kama hamna fweza waacheni wenye nazo walipe ada jameni eeeiiish
Ndiwooo safiiiiii ongeza kasiWacha tulipe tu, utamu mnatupa sana tu[emoji108]