Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
Duu umenikumbusha ule wimbo wa Zay B mashairi yamejaa kisado
Hapa naona post unazotoririsha
 
Mu
Ndugu yangu kisandu, kwanza nakupa pole sana kwa kuhangaika kutafuta jukwaa la kupatia umaarufu bila mafanikio.

Ila Kumbuka Sana Kuwa Kwa sasa watanzania wana haja kubwa ya mabadiliko tena tofauti na hata october 2015, believe me.

kushindwa mapema kwa serikali kumechangia hali hii ya serikali kuchukiwa. nakusihi ndugu yangu kisandu, lima bustani, fuga kuku, achana na siasa, huziwezi na nimepitia nyuzi zako nyingi, wewe ni mtupu kichwani.

Pumzika, unaowagusa huwawezi zaidi na kufichua uzembe wako na umbumbumbu wako.

Mungu atawaaibisha hao unao waona siwawezi
 
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
Unavyosema.utafikiri anakusikia vile.wenzako tunaomba arudi.weee unaomba aondoke chadema.
 
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
Katika vijana ninao wadharau na kuona wamepotea njia ni wewe Deo. Tazama ulichokiandika, upumbav.u na ujinga mtupu umekujaa kichwani.
 
Kuna mtu kasema kupima akili ni muhimu kwa baadhi ya watu
Mimi nimeliona hili kwani mada za huyu ndugu huwa nasomaaa naona kama kuna kitu hakipo sawa sehemu fulani. Mara dini mara jina mara siasa. Ule utafiti uleee upo sahihi.
 
Najua hawapendi ukweli
Lakini ukweli sikuzote lazima usemwe
Mwenye akili ataelewa
 
Kama kawaida mkuu ukweli umenena lkn nakupa pole hayo vijana wa ufipa watakavyokuja kukutukania na mama watamuunganisha.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana rafiki, hata ulichokiandika hakijulikani kweli Tanzania ya viwanda inakuja.
 
Kisandu Vp NCCR inakua kwa kasi Kahama¿ karibu CDT jukwaa la siasa tukufundishe uenezi maana hatuoni impact yako tangu uliposema unakuja kubomoa Wana Ukawa wenzako. Shame on you Dogo.
 
Ikifika Januari huyu bwana Deogratius Kisandu hajapelekwa Milembe;basi mtegemee mengi makubwa yanayohusiana na "mdororo" wa ubongo kumkumba yeye au walio karibu yake.

Huyu Comrade hayupo sawa kabisa upstairs...
 
Wizara ya afya inabidi iweke mkazo katika kujenga vituo vingi vya afya ya akili pale Dodoma hapatoshi maana uku mtaani wengine tunaishi nao kwa sababu ya uhaba wa hospitali za kuwaifadhi wenzetu.
 
Back
Top Bottom