Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Mimi nimeliona hili kwani mada za huyu ndugu huwa nasomaaa naona kama kuna kitu hakipo sawa sehemu fulani. Mara dini mara jina mara siasa. Ule utafiti uleee upo sahihi.
Mara mwanamke wa kuolewa na yeye awe bikra..!!
 
... Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Hii imekanushwa lini, wapi na nani?

Kama huu ni uzushi, wewe ule ban kama ya miezi 6 hivi maana tabia ya kuzusha (if this is the case) ndio inayofanya vijana wa Kamanda Sirro wawe wanaivizia JF 24/7 kwa leo la kuitokomeza kabisa.
 
Mpaka Kisandu anakuwa katika hali mbaya namna hii ndugu zake wako wapi ?
 
Deo kuna mtu hapo juu kasema kila anaposoma ulicho andika anauona uwezo wako ulivyo mdogo katika kufikiri kwako. Mie nakwenda mbali zaidi na kukuwazia kuwa unahitaji kujipeleka mwenyewe kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili wakati huu kabla mambo hayajaharibika zaidi na ikabidi nduguzo watumie nguvu kufanya hivyo.
Ulisha wahi kujiuliza kwa nini kwenye hiyo siasa ambako uliamua kujiingiza ili kupata mkate wako una fail kila unapogusa na kila mtu anakuona chizi?
Mkeo (kama unaye) huwa anasoma mada zako uandikazo? Kama anasoma na hakuambii kitu basi kuna mawili, eitha naye ni chizi au hana mapenzi nawe ila yako kwa mtu mwingine. Hebu tafuta signature ya Invisible uisome
 
Wabovu wa akili huwa wakwanza kuwaona wenzie wabovu,
Hampendi ukweli zaidi ya unafiki na uzushi.
Wewe leo amua kujiteka
Uone CDM wanafanyaje
 
Thread nyingine ni za kipuuzi tu na zipuuzwe.....vioja vya mleta mada na kukurupuka kuja na mipasho hapa....je ww umeyaishi? Kama ndio hebu jaribu kuhoji Phd ya Rais wako.
 
Deo kuna mtu hapo juu kasema kila anaposoma ulicho andika anauona uwezo wako ulivyo mdogo katika kufikiri kwako. Mie nakwenda mbali zaidi na kukuwazia kuwa unahitaji kujipeleka mwenyewe kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili wakati huu kabla mambo hayajaharibika zaidi na ikabidi nduguzo watumie nguvu kufanya hivyo.
Ulisha wahi kujiuliza kwa nini kwenye hiyo siasa ambako uliamua kujiingiza ili kupata mkate wako una fail kila unapogusa na kila mtu anakuona chizi?
Mkeo (kama unaye) huwa anasoma mada zako uandikazo? Kama anasoma na hakuambii kitu basi kuna mawili, eitha naye ni chizi au hana mapenzi nawe ila yako kwa mtu mwingine. Hebu tafuta signature ya Invisible uisome
Ficha.....
 
Wabovu wa akili huwa wakwanza kuwaona wenzie wabovu,
Hampendi ukweli zaidi ya unafiki na uzushi.
Wewe leo amua kujiteka
Uone CDM wanafanyaje
Ni mtu kama wewe ndiye awezaye kutamka neno kujiteka ambalo Galina tafsiri katika lugha yeyote.
Waweza kutusaidia neno kujiteka katika lugha ya kiingereza (au kisheria) linaitwaje?
 
Dogo unatafuta attention za watu kila siku,tatizo lako wewe ni weupe kichwani kuliko hata nazi.
 
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
Naomba uelewe mbowe si chadema kwa hiyo bwana ben ni msaidizi wa mbowe na wala si msaidizi wa chadema kwani cheo hicho hakuna na hizo ni propaganda za kitoto
 
Ni mtu kama wewe ndiye awezaye kutamka neno kujiteka ambalo Galina tafsiri katika lugha yeyote.
Waweza kutusaidia neno kujiteka katika lugha ya kiingereza (au kisheria) linaitwaje?

Wewe vipi Mrundi?!!!
Kiswahili na Urundi wapi na wapi!!!
 
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
Hivi we jamaa unakuwaga punga nini!!! [emoji3][emoji3]
 
Wewe ulitangaza hapa kwamba umeacha siasa, jitahidi kuwa na akili...ujinga ujinga sio jambo jema

Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
 
HAKUNA MKAMILIFU.. MKUU

Usimkashfu kwa kulinganisha alichoongea na hadhi yake
Kama hukubaliani nae
Unakataa kwa hoja au unapita tu bila kusema chochote.

Naomba kama unaweza rudi ukasome threads zake zingine labda utanielewa ninacho ongea.
 
Back
Top Bottom