Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.
Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.
Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.
Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania