Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Mnamlilia Saanane kinafiki kabisa

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,401
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
 
Kama kawaida mkuu ukweli umenena lkn nakupa pole hayo vijana wa ufipa watakavyokuja kukutukania na mama watamuunganisha.
 
Tuna imani Ben atakuwa hai na mzima WA afya. Leo haonekani kila MTU Ben, Ben. Mbona alipo kuwepo hamkumpa sapoti yoyote zaidi ya kumtumikisha.

Maneno yake je mnayaishi? Watanzania Bwana ukitaka kujua kama wanakupenda jiteke au fariki halafu huko peponi anza kuangalia huku duniani wanavyo kupa promo ya kukusifia, utasifiwa kama kama malaika WA kipepo Lusifa. Lakini ukiwepo, thubutuuu, wakusifie upate ujikooo.

Mdogo wangu Ben kama ukifanikiwa kurudi basi Chadema hapakufai. Kumbuka wameshakanusha wewe sio msaidizi wa Mbowe, na ndio walivyo. Pole sana.

Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania
NONSENSE!!!!
 
Ndugu yangu kisandu, kwanza nakupa pole sana kwa kuhangaika kutafuta jukwaa la kupatia umaarufu bila mafanikio.

Ila Kumbuka Sana Kuwa Kwa sasa watanzania wana haja kubwa ya mabadiliko tena tofauti na hata october 2015, believe me.

kushindwa mapema kwa serikali kumechangia hali hii ya serikali kuchukiwa. nakusihi ndugu yangu kisandu, lima bustani, fuga kuku, achana na siasa, huziwezi na nimepitia nyuzi zako nyingi, wewe ni mtupu kichwani.

Pumzika, unaowagusa huwawezi zaidi na kufichua uzembe wako na umbumbumbu wako.
 
Back
Top Bottom