Mnamkumbuka Tola mchoyo?

Mnamkumbuka Tola mchoyo?

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,695
8aee80798bef0e2bf0a02511a54edbe6.jpg
 
Tola alikuwa mchoyo sana alikuwa anapenda kula gizan wakati wa usiku, anapotoka kulewa anarudi anakuta watoto wake wamelaa anaanza kula chakula alichoficha ,kumbe siku moja konokono aliingia kwenye msosi.......si akaanza kula kimyakimya alitema CHENCHI za kutosha hadi watoto wake wakaamka wakamshtukia.......umenikumbusha the way BEFORE
 
Umenikumbusha kale kawimbo

Tola: Njaa ipo muda mrefu.
Watoto: watu wanalala bila kula Darasa la pili hyo dah miaka hyo
 
hahahahaaaaa hivi watt wa sasahivi wanasomaga hizo
Mkuu hii kitu angetoke msomi wa kitambo hcho wa kwenda na wakati utandawazi angeokoa kizaz cha tom and jerry,kungekuwapo na katuni za kina Juma na Rosa ila ss ndyo hvyo hahahaaa
 
>>kitamboooooooo sana miembe mitatu ''mkomaindo hapoo enzi za akina R.john ,chara >>
 
Mie nimekumbuka ile hadithi ya zimwi ambalo lilimuoa yule demu pale kitaa..
Mwanaume mtanashati kumbe alikuwa anaaga na kwenda sehemu na kuogelea na kucheza huku yakitifua udongo mikia ikiwa imewasimama kama nyumbu...
Hadithi inawafunza wadada wawachunguze wanao waoa
 
Then kuna kile kitabu kina story ya 'heri mimi sijasema' sijui kinaitwaje but syory ilikuwa watu watatu walijificha chini ys majani wkt wa vita km sikosei hlf mtu mmoja aliyekuwa anapita akamkanya mmoja wa wale waliojificha yule jamaa kuona amekanyagwa aksahau kuwa kajificha kukwepa vita yy akaropoka mbona wengine mnatukanyaga km majani akachomwa mkuki akafa wa pili akadakia sasa ww kwann umesema nae akagindulika akachomwa mkuki akafa wa tatu sasa yy akasema heri mm sijasema naye akachomwa mkuki akafa...... Dah kwakweli hv vitabu vilikuwa vitamu jumlisha na stori za abunwasi......
 
Mkuu hii kitu angetoke msomi wa kitambo hcho wa kwenda na wakati utandawazi angeokoa kizaz cha tom and jerry,kungekuwapo na katuni za kina Juma na Rosa ila ss ndyo hvyo hahahaaa

kweli .com imetumaliza
 
Back
Top Bottom