Mnamkumbuka Tola mchoyo?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
8aee80798bef0e2bf0a02511a54edbe6.jpg
 
Tola alikuwa mchoyo sana alikuwa anapenda kula gizan wakati wa usiku, anapotoka kulewa anarudi anakuta watoto wake wamelaa anaanza kula chakula alichoficha ,kumbe siku moja konokono aliingia kwenye msosi.......si akaanza kula kimyakimya alitema CHENCHI za kutosha hadi watoto wake wakaamka wakamshtukia.......umenikumbusha the way BEFORE
 
Umenikumbusha kale kawimbo

Tola: Njaa ipo muda mrefu.
Watoto: watu wanalala bila kula Darasa la pili hyo dah miaka hyo
 
Mie nimekumbuka ile hadithi ya zimwi ambalo lilimuoa yule demu pale kitaa..
Mwanaume mtanashati kumbe alikuwa anaaga na kwenda sehemu na kuogelea na kucheza huku yakitifua udongo mikia ikiwa imewasimama kama nyumbu...
Hadithi inawafunza wadada wawachunguze wanao waoa
 
Then kuna kile kitabu kina story ya 'heri mimi sijasema' sijui kinaitwaje but syory ilikuwa watu watatu walijificha chini ys majani wkt wa vita km sikosei hlf mtu mmoja aliyekuwa anapita akamkanya mmoja wa wale waliojificha yule jamaa kuona amekanyagwa aksahau kuwa kajificha kukwepa vita yy akaropoka mbona wengine mnatukanyaga km majani akachomwa mkuki akafa wa pili akadakia sasa ww kwann umesema nae akagindulika akachomwa mkuki akafa wa tatu sasa yy akasema heri mm sijasema naye akachomwa mkuki akafa...... Dah kwakweli hv vitabu vilikuwa vitamu jumlisha na stori za abunwasi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom