Kivumah JF-Expert Member Jan 7, 2008 2,428 1,050 May 6, 2012 #1 Msanii wa muziki wa Bongoflava Peter Msechu akicheza na Nakaya
Royals JF-Expert Member Nov 19, 2011 1,466 378 May 6, 2012 #2 Anajutia kuhama chama kubwa. Lakini si neno atarudi muda si mrefu ujao.
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Sep 18, 2010 8,396 7,968 May 6, 2012 #3 Mbona anaonekana kachokachoka?? Itakuwa labda njaa ndio ilimpeleka magamba...
Bigjahman JF-Expert Member Jan 5, 2011 842 421 May 6, 2012 #6 ulukolokwitanga said: mbona anaonekana kachokachoka?? Itakuwa labda njaa ndio ilimpeleka magamba... Click to expand... uteja sio lelemama
ulukolokwitanga said: mbona anaonekana kachokachoka?? Itakuwa labda njaa ndio ilimpeleka magamba... Click to expand... uteja sio lelemama
S shosti JF-Expert Member Dec 21, 2010 4,906 1,504 May 6, 2012 #9 mhh cha kujiachia namna hiyo,mwili kama kiroba
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,678 68,652 May 6, 2012 #10 Kivumah said: Msanii wa muziki wa Bongoflava Peter Msechu akicheza na Nakaya Click to expand... Hapo Usoni ni ile ajali ya gari au kuna mtu alimpasua na chupa?
Kivumah said: Msanii wa muziki wa Bongoflava Peter Msechu akicheza na Nakaya Click to expand... Hapo Usoni ni ile ajali ya gari au kuna mtu alimpasua na chupa?
Sunday Ngakama Member May 5, 2012 68 33 May 6, 2012 #11 Huyu sista huwa namwona kwenye Tv. ila hapa anaonekana kunenepa zaidi
MWANA WA UFALME JF-Expert Member Sep 10, 2010 578 144 May 6, 2012 #14 lutayega said: shapeless Click to expand... And that was the last time we heard from her. I think others should learn from that.
lutayega said: shapeless Click to expand... And that was the last time we heard from her. I think others should learn from that.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 May 6, 2012 #15 Duuh ndio hiyo shape ya michellin hiyo
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 May 6, 2012 #16 Nehondo said: Duh kanenepeana mwenyewe kwa raha zake Click to expand... Alivyonenepa ndo anazidi kuchukizaaa, kawa mbayaaa
Nehondo said: Duh kanenepeana mwenyewe kwa raha zake Click to expand... Alivyonenepa ndo anazidi kuchukizaaa, kawa mbayaaa
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 May 6, 2012 #17 kweli kajiunga na wezi wa rasilimali zetu kanenepa si unawaona wapambanaji kina sumari , zito nk walivyokonda? kweli Tz bila wizi huwezinenepa
kweli kajiunga na wezi wa rasilimali zetu kanenepa si unawaona wapambanaji kina sumari , zito nk walivyokonda? kweli Tz bila wizi huwezinenepa
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 May 6, 2012 #18 kajiachia mpaka hapendezi tena.cheki minyama hiyo, pheeew!!
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,012 11,944 May 6, 2012 #19 Ulukolokwitanga said: Mbona anaonekana kachokachoka?? Itakuwa labda njaa ndio ilimpeleka magamba... Click to expand... Magamba matumizi yao ni rafu sana,hasa Mwiguru yule jamaa ni mtumiaji rafu sana,ndio maana mdada wa watu amechoka sana.
Ulukolokwitanga said: Mbona anaonekana kachokachoka?? Itakuwa labda njaa ndio ilimpeleka magamba... Click to expand... Magamba matumizi yao ni rafu sana,hasa Mwiguru yule jamaa ni mtumiaji rafu sana,ndio maana mdada wa watu amechoka sana.
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,012 11,944 May 6, 2012 #20 lutayega said: shapeless Click to expand... Kama gunia la viazi.