Mnamkumbuka Nakaaya Sumari?!. Alivua Gwanda akavaa Gamba Arusha Mjini 2010....

ACHANA NA STRESS NI MBAYA SANA UNAWEZA KUSAHAU HATA KUVAA CHUPI

nakaaya_sumari.jpg
 
Mimi si mfuasi wa chama chochote!

But najiuliza tu kama nakaaya angekua alihama kutoka ccm kwenda chadema. Watu wangempondaa namna hiii???

Yeye si mwanamke wa kwanza tz kuwa na shape ya namna hiyo ... So kuweni wapole tu.

BTW nilisikia ni mjamzito huenda ndio sababu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom