Mnambowa

Mnambowa

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
2,050
Reaction score
359
ndo nimeingia tuu leo humu mjini kwa wanajamii, nimevutiwa na watu wanavyochangia mambo ya kila cku yahusuyo matukio na maisha ya watu katika saisa , burudani , uchumi, michezo , maendeleo na mengine mengi, nimependezwa sana,, mm nipo Maganzo Shinyanga,, karibuni.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
sheri ana kanuniz uhakikishe umesoma na kuzielewa
hata hivyo karibu sana
 
Back
Top Bottom