Mnali mwingine kaibuka dodoma!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Mmoja wa viongozi wa Shule maarufu Dodoma inayoitwa Yang Jai ametandika mwalimu bakora mbele ya wanafunzi. Haikuweza kujulikana nini hasa chanzo cha huyo mwl wa wanafunzi wa shule ya awali.

Ajabu ni kwamba kiongozi aliyemtandika bakora huyo mwalimu hajachukuliwa hatua yoyote ingawa muathirika aliacha kazi baada ya kitendo hicho. Inaonekana ule usemi usemao 'ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni' bado unaendelea kujidhihirisha ndani ya jumuiya ya elimu nchini.

Tusubiri tuone kama serikali itatoa tamko lolote juu ya hili.
 
Kama aliyecharazwa bakora angekuwa mwalimu kweli, angekuwa amelifikisha suala hilo katika vyombo vya sheria. Pengine alikuwa mpita njia. Unasubiri serikali kutoa tamko kwani hiyo serikali italijuaje suala hilo bila taarifa rasmi kutoka kwa mwathirika?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom