Mnakwama wapi Wakuu?

Mnakwama wapi Wakuu?

Atutaki mahusiano tuna taka iyo Mambo tu ..

Dark Side
 
Kwamba sura yako inakuongezea machungu au!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
JF sio pakuja omba msaada, humu ss pia tunashda nyngi tuu ww unahisi ss mapenzi hayatutesi

Humu n kama unakuja soma memes, soma cheka pita hivi
 
Ni suala la Muda tu.

Hata huyo mkaka aliyekuja kidini atabadilika tu.
.

A Good Man is Hard to Find.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee pole sana, lakini cha kushangaza na wewe bado unaleta matatizo yako.

Huwenda hata kwa hili pia wakataka kuja tena kukupa pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom