Mnakwama wapi Wakuu?

Mnakwama wapi Wakuu?

Mimi nipo hapA lodge fulani napata moja moto na moto zaidi ila huyu sio wa jf.
Tumevaa barakoa korona ipo.
Ila utofautishe hatupo kwa room tupo garden tunapasha kidogoo.
Jogoo likiamka mtetea yupo.
Utasugua vidole humu injini la basi linaendeshwa na watoto tu.
This is true
Nimetumia mda kujaribu kukuelewa ila nimeshindwa.
 
Picha yako pls, ushauri utapata na roho yako itatulia niamini mimi
 
Humu ni shida,zimesimama zipo juujuu yaaan hawatulii
 
Roho za utu zinazidi kutoweka..uzi umejaa kejeli...watu hawajali tena maumivu ya wengine in the name of “making jokes” to get over their emptiness in the inside.., it’s pity!


Selina shida zako usiweke tena humu, sawa mama bora ufe nazo kuliko kuja kusoma hizi comments.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom