selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Yani tangu nianze kueleza matatizo yangu humu nimebahatika kumpata mkaka mmoja tu ambaye alikuwa kidini zaidi nilifurahishwa nae sana alinitia nguvu sana ya maisha ila wengi wao jamani wakiomba picha ukiwapa wanataka mahusiano tu!
Jamani mahusiano gani ya kweli ya mtandaoni tuache izo tabia saizi tutakuwa tuna fake picha kutokana na tabia zenu sio nzuri mtu anapitia magumu anataka kutulizwa kwa ushauri mbali mbali lakini baada ya kumtuliza ndo kwanza unazidi kumuongezea tatizo tubadilike.