Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Mnakosea sana kushikiwa simu na wake zenu

Nakadori anawasalimia sana.

Ninaomba kuuliza swali...hivi wanaume mliooa mbona mnawapa wake zenu simu zenu wazipekue na kufanya mawasiliano?

Kwanini iliitwa simu ya mkononi? Maana yake ni iwe mkononi mwako. Sasa unakuta mwanaume hana sauti wala nguvu yoyote na simu yake.. mda wote iko mkononi mwa mwanamke.

Basi bwana juzi nimemtext kaka mmoja ambaye alitokea kunikubali sanaaaaaaaa kimalove ila hakuwahi kulamba punani yangu. Uchumba wetu ulikuwa ule wa kisabato haswaaa kwamba hugusi mpaka ndoa japo wengine walishanigusa gusa kidogo.

Kifupi yeye ndo aliweza kunizungusha kwenye sehemu mbalimbali za starehe za mji wa Dar hasa maeneo ya beaches na kweli nilikuwa nainjoi hizi bata...

Sasa bahati mbaya au nzuri nikawa nimepata chuo upande mwingine mbali saaana tukapoteana na mimi kwa kuwa sikuweka sahihi (hatukula tunda) sikuwa na cha kumkumbuka kiviiile zaidi ya kumganda mfamasia wangu. Nilipomaliza masomo nikakuta ameshaoa ...basi havikuuma kiviiile ila still akawa ananiganda kwamba lazima ale tunda maana nilimfanyia ndivyo sivyo...(hapa siwez sema kama tunda lililiwa au lah tupaache).

Mara nyingi huwa namtext kiuchokozii chokozi mda mwingi hasa weekend maana anataitiwa hataree na bi mkubwa so huwa nammiss kiaina...ila hajibu...sasa anapokuja badae kupiga anasema hajaona mesej ila simu ilikuwa ineshikwa na bi mkubwa...

Hivyo huenda bi mkubwa atakuwa amesoma mesej na kuifuta na kupotezea....! Huyu nitakuja nimpatie somo kuhusu namna ya kuhendo simu yake (najua wake wa ndoa mtaongea sana kunicrush ila ndo hivyo...acheni simu za wanaume zenu ziwe za wanaume zenu maana mkiendelea mtakufa haraka na maradhi ya moyo).

Sasa na nyie wanaume mlisikia mapenzi ya kweli ni lazima wake zenu wapokee au washike simu zenu? Wachepukaji mkishafuta meseji zote ili muonekane wasafi basi mnawapa simu washike ili muaminike. Wapiii...acheni.

Mnakwama wapiii?

Hebu mkue basi.
Ujengewe mnara pembeni ya ikulu magogoni,umemaliza yote kila mtu akae na simu yake...mimi wife hagusi simu yng nlimwambia sio mali yke ni yangu,pia yke sina muda nayo huwa anaweka makusudi bt sina muda nayo
 
Umeona eeehh
Analalamika kweli siku hizi
Maana alihangaika kwelii
Sema tunda ndo haliikuliwa sababu ya usabato kumbe wengine wanakula daily
Wanaume wengi wa kisabato wana kaujinga, siwezi fanya dhambi ya uzinzi na hao watu maana dhambi itakuwa imeenda bure tu hawana maajabu kunako bed, wamepoa kama uji wa magimbi, hawashtui wanaboa Sana,, endelea kumtumia tu,

Kuna mmoja nilimtosa Tena nikiwa katikati ya kumuhitaji zaidi ila hakuwa ananipa msisimko wa genye nikaona hapa nikikubali tu nitamsaliti asbh, nikajikataa nikapata chakaramu mwenzangu kunako mavituzi, na mambo yako swaaafi,
 
🤣🤣🤣🤣🤣 naona makavel analike kimya kimya... kweli maajabu hakuna kabisaaa
 
Ujengewe mnara pembeni ya ikulu magogoni,umemaliza yote kila mtu akae na simu yake...mimi wife hagusi simu yng nlimwambia sio mali yke ni yangu,pia yke sina muda nayo huwa anaweka makusudi bt sina muda nayo
Yani wewe ndio mwanaume wa shokaaaaa
Achana na hawa wanaojiona malava boy etii ooh mwili mmoja oohh kimepanda kimeshuka. ...
Utashikaje simu ya mkeo au mmeo halafu uko busy unaangalia nani anapiga nani anachat nae... hizo ni insecurities ambazo zinahitaji tiba
 
Lols me nyie wa kuogopa wake zenu sitakii
Sio kwamba namuogopa mke wangu, ila namuheshimu saana, natimiza nadhiri yangu, niliwahi kujiapiza nikimaliza mambo yangu meusi, nikampata mke nitatulia na kumuheshimu kinoma noma, labda anichanganye, sasa hapo ndio ataiona June July. 😂
 
Ukipunguza nidham utuambie makaveli
 
Me nimeshinda salama
Busy sana
Mwili wote unauma natafuta wa kunimasaji kwanza mengine yaendelee 😂😂
Pole saana, karibu chumba cha masaji, kwa wewe nitakufanyia free of chaji na ofa ya juice nziito utapata, wewd tu ukitaka body to body, ukitaka masaji ya chukuchuku n.k
 
Mwendo wa shangwe na vigelegele, waambiwa ukisusa sisi twala... Watu wanalia timing, mkizi akasirike wamtie mtegoni, bahari kumpata tena isahau, na mkizi nae ansema fresh tu, nishachoka chumvi za bahari, 😂, kumbe aendaLIWA🤣
Lol hasira za mkizi furaha ya mvuvi 😅
 
Mwendo wa shangwe na vigelegele, waambiwa ukisusa sisi twala... Watu wanalia timing, mkizi akasirike wamtie mtegoni, bahari kumpata tena isahau, na mkizi nae ansema fresh tu, nishachoka chumvi za bahari, 😂, kumbe aendaLIWA🤣
Hahaha sionkwa kuruka ruka hukoo
 
kuna wanawake wanataka wawacontrol waume zao, utazani wao ndo wameoa, unang'ang'aniaje simu ya kidume wakati una yako? Matokeo yake ni ugomvi wa kipumbavu afu unaishia kulambwa makofi bure.

ila mleta mada na wewe una element za kimalaya, kwanini ung'ang'anie mume wa mtu? wakati una mume, kama huna tafuta mume wako. Mbona wanaume wako wengi tuu. Mume wa mtu sumu, shauri zako.
 
Back
Top Bottom