Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Hata kama ni 50,000 kwa siku kumi ana 500,000 wakati teller ana 750,000 kwa mwezi
Tulishatoa gharama za pango katika 200,000 hii 50,000 ni net profit ya muuza ships. Sema changamoto ni siku za mvua wateja wanapungua na akiumwa hakuna sick pay
 
Tena wale wakiona hela ndogo ila fursa ya hela nyingi IPO wanakaa.
Hamjuagi tu ila hawa wadada wa mjini wanatembeaga na watu wa ajabu jamani ni vile hawawaonyeshi. Yani MTU unasema hata na 2M simvulii NGUO ila ukimkuta na mdada wa mjini mahaba kama yoteeee.
Washamba kina sie ndio tunaangalia status ila wale kazi kazi wamekuja mjini kusaka hela yeyote mwenye hela wanasukumia ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hukua kundi la mwanaumr wa maisha Bali alikua anakuchukulia kama sponsor halafu mshamba anaonekana wifi pia anajua ukiwa ofisi Fulani Una hela (kama wanaojua bankers wana hela).
Halafu hata uwe na hela Kama nini kama mwanamke hajataka kutulia na wewe ataruka tu chief. Hao wapika chips unakuta MTU hajampenda ndio maana haoni maana ya kupoteza muda wake na MTU anaehustle. Hawa wenye hela hata ukimlia wakati humpendi roho haiumi wala nini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wa mujini walimlipisha Msukuma Mbunge kodi ya mwaka, amestuka kumbe ilitakiwa hela yake tu si yeye 😂
 
Sisii uwe na hela aau muonekano mzuri baasi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena, cha msingi "anatoa".
 
Hata kama ni 50,000 kwa siku kumi ana 500,000 wakati teller ana 750,000 kwa mwezi
Kwahiyo hapa unatufundisha tunapodanga tuangalie penye dau kubwa right?
Mkaka wa watu aungueeee we ukachote tu, bora huyo wa kwenye kiyoyozi.
 
Kwahiyo hapa unatufundisha tunapodanga tuangalie penye dau kubwa right?
Mkaka wa watu aungueeee we ukachote tu, bora huyo wa kwenye kiyoyozi.
Hapana kudanga ni kutafuta wa kujenga nae maisha. Bank teller ujue zaidi ya uzuri wa tai hela yake ni ya mahesabu usimpe pressure.

Usimdharau muuza chips ana mudu kununua vocha kila siku.
 
Wadada wa mujini walimlipisha Msukuma Mbunge kodi ya mwaka, amestuka kumbe ilitakiwa hela yake tu si yeye [emoji23]
Kuna sponsor mmoja huyo alikua anatoka na rafiki yangu aiseeeee. Nilimuuliza huyu ukitaka kumkiss inakuaje maana kwanza sio MTU mzima ila sura yake kama Ana miaka 70. Lakini Hawa madada wa mjini kawaimport Sana mkoani na ile sura.

Kuna mwingine alikuaga shosti wa rafiki yetu alikua anatoka na Muuza kachori. Alikua hata akitaka laki 5 siku 2 tu kapata. Yani ukihadithiwa unaona huruma sababu mpaka Ada alikua anamlipia bby wake halafu sista duu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kudanga ni kutafuta wa kujenga nae maisha. Bank teller ujue zaidi ya uzuri wa tai hela yake ni ya mahesabu usimpe pressure.

Usimdharau muuza chips ana mudu kununua vocha kila siku.
Wanawake hatudharau pesa wewe, kama unatujua vizuri lkn.
 
[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hhahahahahahahahahaah[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhambi zingine tunapulizia kidogo kupunguza makali, muuza chipsi akikulaani laana inashika kabisa kuliko huyo wa kwenye kiyoyozi. Labda awe ameajiri watu haungui yeye moja kwa moja.[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kuna mdada alipata sponsor kutoka mkoani. Baba alikuwa akifika Dar anafikia Kempinsik ana transactions za uhakika baada ya kuuza ng’ombe, maziwa na ngozi. Alimchukulia mdada nyumba Sinza na furniture zote ingawa yeye hajawahi kufika.

Akija mjini mdada anahamia Kimpinsiki mpaka anaondoka na anaachiwa pesa ya kutosha.

Huku mjini mdada ana boy friend wake James. Siku moja wakati mzee anashughulika mdada si aanze kumuita James 😂
 
Yesuuu..mwanzo wa kurudi shidani sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…