Papa aongoza Jumapili ya matawi kanisa likiwa tupu

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
5,242
2,000
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo hii ameongoza ibada ya Jumapili ya Matawi, katika kanisa la Mtakatifu Petro Basilica likiwa tupu kabisa kutokana na vizuizi vya kukabiliana na virusi vya corona.

pope-francis-palm-sunday-mass-march-28-2021-022-1616932549216.jpg

Katika ibada hiyo inayofanyika kwa namna hiyo kwa mwaka wa pili mfululizo Papa amewataka watu kujisogeza karibu katika kuwasaidia masikini na wagonjwa.

Virus_Outbreak_Philippines_Holy_Week_15907-1.jpg

Katika nyakati za kabla ya janga la corona, Jumapili ya Matawi, ambayo inaashiria mwanzo wa Wiki Takatifu kwa Wakatoliki kuelekea siku ya Pasaka, maelfu ya watu wakiwa wameshika matawi mikononi walikuwa wakishiriki ibada hiyo ya wazi katika kanisa hilo Mtakatifu Basilica.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,456

Halikuwa tupu, huyu ,piga picha hakuwa mtu?
 
TASLIMA

JF-Expert Member
Jul 23, 2019
1,923

Mdudu korona anaweza penya tuu hapo, Mungu tuu ana tusaidia.
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,953
2,000
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo hii ameongoza ibada ya Jumapili ya Matawi, katika kanisa la Mtakatifu Petro Basilica likiwa tupu kabisa kutokana na vizuizi vya kukabiliana na virusi vya corona.

pope-francis-palm-sunday-mass-march-28-2021-022-1616932549216.jpg

Katika ibada hiyo inayofanyika kwa namna hiyo kwa mwaka wa pili mfululizo Papa amewataka watu kujisogeza karibu katika kuwasaidia masikini na wagonjwa.

Virus_Outbreak_Philippines_Holy_Week_15907-1.jpg

Katika nyakati za kabla ya janga la corona, Jumapili ya Matawi, ambayo inaashiria mwanzo wa Wiki Takatifu kwa Wakatoliki kuelekea siku ya Pasaka, maelfu ya watu wakiwa wameshika matawi mikononi walikuwa wakishiriki ibada hiyo ya wazi katika kanisa hilo Mtakatifu Basilica.
Hawezi kuwa mjinga ka meko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom