Mimi mwenyewe nimescroll nikijua nitaona hata clue ya jibu la hili swali ila naona ni maneno tu. Ninafikiri wabongo wengi kutokana na kutokuwa na akili tunapenda kuchit chat....kusogoa tu , tena wanaume!Watu wa MMU wamevamia jukwaa la sayansi na teknolojia. Kwani hamuwezi kukaa kimya akajibiwa na wanaojua?