Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

Mkuu duniani nadhan kwa sasa tupo watu b. 8+ na kati ya hao wanawake ni b.5+ kwanini unateseka?
Hivi huoni unajitaftia magonjwa yasiyo ya lazima na mwisho wa siku utakufa mapema kama demu wako au mke wako una wasiwasi sio muaminifu kwanini uendelee kuwa naye?
tujifunze kusoma kwanza kabla ya kukimbilia ku comment
 
😀😀😀😀😀 Mkuu kweli hapa nimeyatimba jana usiku mdeni nikasoma mdemu asee ngoja na weekend iishe maana isije ikanikuta ya jamaa wa GPSA na mkuu wwa mkoa wa tabora
🤣🤣🤣...
utakuja kutuma baby i miss you kwenda kwa mkwe baadala ya mke
 
Back
Top Bottom