Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,079
Simba Chama kubwa
Hivi chura fc wao wameweka kambi wapi?Mbona wapo SA kwenye uwanja mbovu kama unavyopendekeza wewe
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Yule mrefu ndiyo Niyonzima ama?



hapo ni South Africa au ni Tunduma?Kuweka kambi nje ya nchi ni ufujaji wa pesa kwa nini wasiweke kambi kwenye mikoa mbali mbali ili kuzoea ubovu wa viwanja vyetu? Unazoea viwanja vizuri vya majuu ukirudi unakuja kupiga ligi kwenye viwanja vilivojaa mashimo na vichuguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtwara unaijua vizuri au unaiskia tu? acha stereotyping nakushauri nenda mtwara kajionee mwenyewe mambo yanavyoenda....usilete dharau za kichaga!Nimetoka mji mwingine kuja kuwaona ndugu zangu wa Tanzania mji huu waliofikia kufanya mazoezi ni sawa na timu iende kule kigoma au mtwara(kwetu) au Lindi kwa ajili ya maandilizi.
Yaani n upuuzi mtupu maana nimepoteza hela zangu kwa ajili ya hii kabumbu
Hawa viongozi wa soka bongo hamnazo kabisaKuweka kambi nje ya nchi ni ufujaji wa pesa kwa nini wasiweke kambi kwenye mikoa mbali mbali ili kuzoea ubovu wa viwanja vyetu? Unazoea viwanja vizuri vya majuu ukirudi unakuja kupiga ligi kwenye viwanja vilivojaa mashimo na vichuguu
Sent using Jamii Forums mobile app