Natoa pongezi za dhati kabisa kwa mashabiki wa Simba na Yanga kwa support walioinesha kwa Timu ya Yanga huko Afrika Kusini

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nawapongeza sana mashabiki wa Simba na Yanga wa huko south Africa kwa uzalendo mkubwa Tena mkiongozwa na Ubalozi wa Tanzania huko south Africa kwani alifanya kazi kubwa sana ya kuwakusanya watanzania (mashabiki) mkakusanyika bila hiyana kuja kulishangilia Taifa lenu.

Hakika huo ni uzalendo mkubwa sana Tena sana, NALIA NGWENA natuma salamu zangu za pongezi kupitia Mtandao huu maarufu wa Jamii forum, hakika nimefurahishwa sana na ni Jambo la kuigwa na watanzania wengine waliopo katika nchi nyingine, endapo timu zetu (Simba na yanga) zitakuja kwenye mataifa mengine basi zipewe sapoti bila kupepesa macho.

Zipokeeni hizi pongezi nazitoa kwa moyo mkunjufu haswa mashabiki wa Simba mlioko huko mmeonesha ni Jambo la kitaifa maana mmevua ushabiki wenu pembeni mmeamua kuisapoti Yanga bila hiyana.

Endeleeni na moyo huo huo mambo ya chuki hata Kama yanga ikifanya vizuri waachieni wakina.

DullyJr, OKW BOBAN SUNZU

1684422430900.jpg
 
View attachment 2626679
Naunga mkono hoja
 
Sema nje ya uzalendo,makolo wanalazimisha attention isiyowahusu. Sasa hivi huko CAF habari ya mjini ni yanga sio mashabiki wa simba.

Kwendeni huko we don't need your backup....tunajitosheleza kuanzia duniani,uwanjani mpaka vibanda umiza.
Hongereni yanga achaneni na hawa walioshindwa....kolowizards
 
Ngoja waje wenyewe wakushambulie vibaya sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom