englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Huyo ndio Afande Ngunguli kiboko ya CUF na Mrema......
Nakumbuka Nyerere alipokuwa ana mnadi Benny kule Moshi alipata upinzani kutoka Moshi jamaa kipindi hicho alikuwa kule ndipo jamaa alipochukua nchi akamkumbuka
Kweli kwamtoro. Nilimsikia akizungumzia ile tsunami ilyoangamiza mji wa BandaAcey kule Indonesia mwaka 2004, nikamdharau sana!
Kaka naomba kama unazo za Tryphone Maji na Alfred Gewe uzirushe hapa tuwakumbuke hawa wanaume............
Hawa ndio walikuwa wanafanya kazi wengine ni kwa maslahi ya wakubwa
Kipindi hicho ukisikia RPC ni RPC kweli, sio siku hizi eti kuna kanda maalum ya kipolisi,wizi mtupu,umesikia wapi kamkoa kadogo kuliko yote katika nchi kakawa na Ma RPC wanne..??