Please ongeza na jinsi alivyokuwa kiboko wa mabeki 3.Huyo ndio Afande Ngunguli kiboko ya CUF na Mrema......
Please ongeza na jinsi alivyokuwa kiboko wa mabeki 3.
Huyu ndiye IGP pekee asiye na elimu.
Watu wanatumia fedha za serikali kuwapa shukrani waliowasaidia kuwaweka madarakani, kazi ya RPC ni kufanya coordination tu kikubwa anatakiwa awe na timu nzuri ya kumfanyia kazi tu lakini nchi yetu utasikia itabidi tuzigawe kata hizi au tugawe wilaya au tugawe mikoa (kumbe nyuma ya pazia kuna mtu ameshaona in the next 2 years kuna pande atapigiwa mtu au kuna mtu ameona hakubaliki sehemu anajenga hoja ya kugawa ili wale ambao ni threat kwake wanakuwa upande mwingine
Haya mkuu.Kwani wewe kuna beki tatu aliyewahi kupita kwenu ukamwacha,hawa wasichana wana siri na roho kubwa sana, tuwahurumie tu, wakati mwingine unaweza kukuta baba na mtoto wanachangia beki tatu,na kama huamini nitakupa kisa cha Kikombe mlinzi wa kimakonde na mwajiri wake.....
It makes no difference hata huyu tuliye naye japo alisifiwe kuwa msomi....Police force is very horrible chini yake
Haya mkuu.
Nashukuru umeliona hilo,kieneo Dar ndio mkoa mdogo kuliko yote Tanzania bara,sasa kuna sababu gani ya kuwa na ma RPC wanne,ina maana huyo mmoja ameshindwa kazi,tazama tu police system ya New York,pamoja na ukubwa wake wote na uhalifu nadhani utakuwa na cha kunieleza...
IJP OMARY MAHITA
Mzee wa NGUNGURI yuko Moro
ni kiboko ya CUF maana waliposena
NGANGARI. MAHITA akajibu kuwa
Geshi la Polisi ni NGUNGURI.