rose bora unafki wa maalim seif kuliko huu wa SITTAmhh
i blv aujatumwa?
thou sijui km ni mnafiki au si mnafiki
ebu nitajie kipi cha maana alichofanya SITTA kama si kutulipisha mabilioni ya Dowans kwa chuki feki zake dhidi ya mafisadi???Ni vigumu sana kukubaliana nawe maana kwa maoni yako tu naona nawe ni mnafiki bin mzandiki!
mhh
i blv aujatumwa?
thou sijui km ni mnafiki au si mnafiki
kama huna kundi unafanya nini kwenye siasa?Rose1980, hapa mimi bado niko bado natafakari kuhusu mwelekeo na misimamo ya BAADHI ya wana JF wenzetu waliojiunga kuanzia July 2010 wakati tukielekea uchaguzi mkuu. Naona kuna wengine walijiunga ili kutekeleza interest binafsi, maana kada la hawa watu ni bifu, majungu, uongo, uzandiki, hadithi za kufikirika nk. tu kwa kwenda mbele. Tafakari, chukua maamuzi!!
jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora
SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick
My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.
Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
mhh
i blv aujatumwa?
thou sijui km ni mnafiki au si mnafiki
ebu nitajie kipi cha maana alichofanya SITTA kama si kutulipisha mabilioni ya Dowans kwa chuki feki zake dhidi ya mafisadi???
kwenye kijani hapo na wewe umetumwa uje kumsafisha nani,mbona wanafiki kwenye chama chenu wengi tu,wakisema ukweli wanaaambiwa wasubiri vikao vya chama,kwenye vikao vyenyewe vya chama hakuna lolote kama vikao vya harusi tu,mwache aseme ukweli hakuna unafiki wowote ule.jana kwenye taarifa ya habari saa mbili itv niliona mzee sitta akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa tabora
sherehe hii kwa tabora ina maana kuwa sitta ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya tabora
sita akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua ccm,mgeni mwalikwa alikuwa james lembeli mzee wa ndege za barrick
my take:sitta ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa maalim seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.
sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la dowans
maria 1047, wewe upo kundi gani ndani ya wanamagamba?jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora
SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick
My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.
Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
labda afufue CCJSitta ana mahesabu ya kupitishwa agombee Urais 2015 na chama fulani ambacho siyo CCM ndiyo maana anahangaika kutengeneza muonekano wake uwe wa kizalendo. Subirini mtasikia, iwapo mpango wake hautagundulika mapema.
mtu wa porini, hebu badilisha rangi - sisi wengine tuna alegi na hilo li-rangi ulilo highlight - kwanza maneno hayasomeki kama walivyo wao.kwenye kijani hapo na wewe umetumwa uje kumsafisha nani,mbona wanafiki kwenye chama chenu wengi tu,wakisema ukweli wanaaambiwa wasubiri vikao vya chama,kwenye vikao vyenyewe vya chama hakuna lolote kama vikao vya harusi tu,mwache aseme ukweli hakuna unafiki wowote ule.
mimi sio CCM na kama ningekuwa ccm basi mimi ni CCM nyerere (ukimwondoa SITTA)maria 1047, wewe upo kundi gani ndani ya wanamagamba?
kama huna kundi unafanya nini kwenye siasa?
SITTA alikuwa kipenzi cha watz lakini mambo aliyoyafanya mwishoni wa 2010 na 2011 yamedhihirisha ni mnafiki sana.
Kama ana uzalendo kwa nini alipingana na wanaotaka posho zifutwe (900 bilioni kwa mwaka)
NIMEJITOLEA KUWAELEKEZA WANA jf KUWA KAMA SITTA anaujua ukweli kuhusu Dowans basi auseme hadharani na ajiuzuli kupinga malipo.kwenye kijani hapo na wewe umetumwa uje kumsafisha nani,mbona wanafiki kwenye chama chenu wengi tu,wakisema ukweli wanaaambiwa wasubiri vikao vya chama,kwenye vikao vyenyewe vya chama hakuna lolote kama vikao vya harusi tu,mwache aseme ukweli hakuna unafiki wowote ule.
Makes sense, pamoja na mapungufu yake, bado Sitta angalau ni mzalendo kulinganisha na wenzake ambao Nyerere aliwakabidhi nchi yetu, wakaifanya yao.