Mnafiki ishi nae kinafiki

Ziko poa tu mkuu!
Toka mwaka uanze 2026 sijawah beti kiongoz🤓
 
Usiingie kwenye kundi la wanafiki, ishi naye kwa akili na tahadhari, wakati mwingine asijue kama unajua unafiki wake.
 
Someone can make a very good comedian if he takes his talent seriously.
 
Hahaha kiongozi. Hongera zako mkuu wewe ni kati ya mashujaa wachache waliochukua uamuzi wa kibabe na kishujaa.
😀 japo nakuwa na hamu balaa inanijia ya kubeti lakin ghafla nasahau ! Siku inapita mpak nimeshazoea
 
Gentleman,
ni muhimu zaidi kuishi na watu vizuri,
lakini pia kujiepusha kabisa kutoa siri za nguvu ya ufalme wako hata kwa mkeo tu achilia mbali rafiki au ndugu.

Fanya mipango na mambo yako kimya kimya na utatoboa vizuri sana na bila stress.

unakumbuka habari ya Samson na Delilah? Na siku hizi wapo madelila hadi wakiume 🐒
 
Nafurahi sana kuona ukifeli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…