EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #41
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] tunasubiri majibu hapa [emoji625][emoji625][emoji625][emoji419][emoji419][emoji419]Swali zuri sana
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] tunasubiri majibu hapa [emoji625][emoji625][emoji625][emoji419][emoji419][emoji419]Swali zuri sana
Mi ntakesha pale hadi saa7 naenda kulala na kesho sa2 nipo kwa mjengo uzuri siendi MTUMBA Nipo townMzeebaba chezea mshahara si kazi.
Try Kibamba uoneMnada waukweli ni wa loliondo kibaha.
Kuna vibe pale😀 kuwekaga limit ya muda wa kuondoka kwakweli nilishashindwa unaweza shtuka saa 10 alfajiri.🤣🤣🤣🙌Mi ntakesha pale hadi saa7 naenda kulala na kesho sa2 nipo kwa mjengo uzuri siendi MTUMBA Nipo town
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimepamiss for two weeks nipo Dar lazima nitimbe aiseeKuna vibe pale[emoji3] kuwekaga limit ya muda wa kuondoka kwakweli nilishashindwa unaweza shtuka saa 10 alfajiri.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Una maanisha yule mweupe mama nani hii?!!!Niko hapa mbezi mwisho on the way there, vipi yule mama mwenye tako la haja leo kafungua? Leo lazima niondoke na namba yake[emoji41]
Samahani mkuu kama ntakukwaza, funguo hapo umelenga ujumbe gani? Je wew ni msukuma?Kama kawa leo j2 mbuzi wakutosha Kibamba chama mida hii ni supu kwanza
NB: local beer
ndogo 2000
Kubwa 2500
Nyama ya mbuzi bei ni rafiki
Karubuni wadau[emoji3052][emoji1634][emoji481][emoji481][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238]View attachment 1944238View attachment 1944239
Mzeebaba chezea mshahara si kazi.
Inaonekana siku ukitimuliwa kazi utakufa kabisa!!Mzeebaba chezea mshahara si kazi.
Hujanikwaza mkuu ila nahisi una inferiority complex maana nadhani nikama kuweka funguo wa nyumba tu sikuhiziSamahani mkuu kama ntakukwaza, funguo hapo umelenga ujumbe gani? Je wew ni msukuma?
Nipe maelekozo vizuri shemeji.Shemeji ukifika utanikuta kwa mama Hashim.
Kafungua si yule wa yuma kulee kama unaenda toi?Una maanisha yule mweupe mama nani hii?!!!
Ohooo!!!Kafungua si yule wa yuma kulee kama unaenda toi?
Kafungua aisee utaweza lile kalio?Niko hapa mbezi mwisho on the way there, vipi yule mama mwenye tako la haja leo kafungua? Leo lazima niondoke na namba yake[emoji41]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Inainekana siku ukitimuliwa kazi utakufa kabisa!!
ama nyie ndio mlisota sana kupata ajira.....
manake inaonekana haupo huru.......!!!?
saa sita saivi unawa kazi ya kesho!!?
Service road... Kulia.Nipe maelekozo vizuri shemeji.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji851][emoji851]Ohooo!!!
Kuna haja sasa,ahsante jirani