EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]nitakuwa pande hizo baadae kidogo
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]nitakuwa pande hizo baadae kidogo
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Eneo la kujidai la wapenda mbuzi...
Nina miaka 12 kazini nakosaje hata kavitz? Tena situmii TGS. Achaga dharau jombaaKumbe una gari mkuu???
Yap!! Dodoma tukutane bambalaga leo maana nshaanza safariHuu nao ni mnada wa nyama? Kama ilivyo msalato Dodoma?
Usijali mkuu we nenda tena ukichelewa nyama zinashuka beiNataka nipate nyama yenye kadha siyo malaulapu
Karibu kila j5 na j2Wiki ijayo nitasogea maeneo yako hapo
Intelligencia inatuambiaje pale Mtoni "rivers" [emoji28][emoji28][emoji28]Intelegensia inaonyesha simba wamesha ununua mchezo wa leo hivyo kufanya simba kushinda 1kwa bila,au 2 kwa 1,ndio intelegensia na radar na satelait zunaonyesha hivyo.
Hapa 1500 tu za kitz
Acha kabisa na hii HAIBATIZWI (kujazwa maji)Supu ya mama ntiliye waga tamu balaa mzee. Ni chumvi, ndimu na pilipili. Upate na vichapati vya moto weee.
Mkuu hapa ulikua umesha anza kupiga LocalMkuu hapa kwenyewe nipo kwa mda nina tiketi nimeolewa na Serikali mepelekwa Dodoma
Acha kabisa na hii HAIBATIZWI (kujazwa maji)
Yap[emoji28][emoji28][emoji28] nasafiri na bia kwenye gari saiviMkuu hapa ulikua umesha anza kupiga Local
maana ulicho andika nazan ume elewa mwenyewe tu
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Fresh. Wako baadhi wanaongeza maji adi test inapotea.
Nilikuwa hapo Bambalaga jana.Yap!! Dodoma tukutane bambalaga leo maana nshaanza safari
Acha woga kazi zipo tu au dereva unamuwahi bossNilikuwa hapo Bambalaga jana.
Leo siendi kesho kazi zisije kwama[emoji3]
Mzeebaba chezea mshahara si kazi.Acha woga kazi zipo tu au dereva unamuwahi boss
Swali zuri sanaIntelligencia inatuambiaje pale Mtoni "rivers" [emoji28][emoji28][emoji28]